Image result for forever living
Forever Living Product ni Kampuni inayoshughulika na utoaji wa elimu na usambazaji wa bidhaa zenye virutubisho vya afya ikiwa ni pamoja na kinga na tiba kwa magonjwa mbalimbali. Pia inatoa elimu ya ujasilia mali inayomwezesha mtu kuongeza kipato cha ziada pindi akiwa bado kwenye ajira yake na bila kugusa muda wake wa kazi.
 Mbali na vitutubusho kwa afya, ina bidhaa za za urembo na utunzaji wa ngozi zisizo na kemikali - ni asilia Kampuni hii ilianzishwa huko Marekani mnamo mwaka 1978, na imekuwa ikiendesha shughuli zake katika nchi zaidi ya 158 duniani, Tanzania ikiwemo.
 Kampuni hii inatoa Fursa ya kuwa Msambazaji (sio machinga) , Mteja au vyote viwili. Mwenye kampuni atakulipa bonus ya asilimia fulani, kulingana na nafasi yako katika mfumo wa biashara uliowekwa na kampuni, kwa kila utakachokinunua na utakayemshirikisha akaenda kununua. Mfano wewe umenunua bidhaa, ukawashirikisha rafiki zako watano, nao wakaenda kununua, utalipwa kwa mauzo ya kwako mwenyewe, pamoja na hao watano uliowashirikisha (sio kwamba ni lazima ukauze, ila mwenye kampuni atakulipa bonus kwa bei ya kuuzia sio ya kununulia).
Jiulize, ni mara ngapi umekwenda dukani ukanunua soda si moja bali ni zaidi ya moja, jee huyo mwenye duka amewahi hata siku moja kukulipa bonus kwa soda ulizonunua?.
FLP itakulipa kwa chochote utakachokinunua kwa matumizi yako, au kwa kuwasaidia wengine. Malipo yatategemea ukubwa wa timu yako na mauzo yao, pia nafasi yako katika mfumo wa biashara
Biashara hii imewabadilishia watu wengi maisha kwa kipindi kifupi sana kuliko matarajio yao. Ni biashara ya kushirikishana: mimi nakushirikisha wewe, na wewe unamshirikisha mwingine, na mwingine na mwingine,... ukomo ni upeo wa macho yako.
 Hatupati pesa kwa kuuza bidhaa, bali kwa kuwashirikisha watu wengine, nao waweze kununua wenyewe, kisha nao wawashirikishe na wengine wakanunue. Unaweza ukaanza leo ukiwa pekee yako, lakini baada ya mwaka mmoja, miaka miwili, miaka mitano utakuwa na watu wangapi chini yako? Ni wengi sana, vivyo hivyo na pesa ni nyingi sana.
Yako mengi sana ya kueleza, lakini siwezi eleza yote kwa email. Ninachoamini na kukutia moyo ni kwamba, ukiiamua kwa dhati kwamba unataka maisha yako yabadilike uweze kuishi maisha ya matamanio yako, ingia katika kufanya biashara na kampuni hii.
Unachotakiwa kufanya ni - Kwanza ni Kujiandikisha, Pili ni Kununua bidhaa na kuzitumia, Tatu ni Kuwashirikisha wengine manufaa ya bidhaa na kipato, na Nne ni Kujenga timu. Mtaji mkubwa wa biashara hii sio pesa, ni mdomo wako - "Word of Mouth".
Kwa hiyo aliye na pesa na asiye nazo, aliye na elimu na asiyo nayo, maskini au tajiri, ... wote wanaweza kufanya hii biashara, kama tu watakuwa na mambo haya matatu - DESIRE (HAJA YA MOYO), COMMITMENT (KUJITOA) , ACTION (KUTENDA) Kwa afya pia ni kampuni yenye bidhaa bora sana. Mchanganyiko wa bidhaa za lishe kadhaa huweza kuondoa tatizo lolote la kiafya hata kama limekuwa sugu kiasi gani. Kampuni inatoa gerentii ya siku 30, kama utaona hukupata badiliko lolote katika afya yako, utarudishiwa pesa yako yote.
 Hapo napo unaonaje? Nakuachia uchambue kisha unipe jibu. Tembele tovuti hii www.flpmedia.com kwa kuifahamu vizuri.
 Je Ungalipenda kuboresha maisha yako ya sasa na ya baadaye kwa kuwa na AFYA BORA na KIPATO kisicho na ukomo? Jee wataka kuwa na MUDA mzuri wa kufanya mambo yako binafsi bila kuingiliwa na mtu yeyote? Jee ungalipenda kuona unawasaidia wengine kutoka katika dimbwi la MARADHI na UMASKINI? Kama jibu lako ni NDIYO, basi wasiliana nami kama unania hasa, na umechoka na maisha uliyonayo, unataka kupata maisha ya ndoto zako na kuwa mtu mwenye afya kamilifu.
 Dondoo: Kuna watu wana muda lakini hawana fedha, wengine wana fedha lakini hawana muda.
FLP itakupatia FEDHA na MUDA . HUHITAJI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUPATA FEDHA NYINGI ZA HALALI, SHIRIKISHA NGUVU YAKO NA WATU WENGINE UONGEZE KIPATO KISICHO NA UKOMO
Kwa maelezo zaidi wasiliana Nami 0713352384
kwa msaada wa blog ya faso Tanzania

Categories:

Leave a Reply