Katika ulimwengu tumezungukwa na mambo mengi na kila wakati tunafanya uchaguzi. Katika moja ya chaguzi tufanyazo kwa kujua ama kutokujua ni aina ya maisha ya kuishi. Waweza taka ishi kitajiri ama kimaskini. Nasema kujua ama kutokujua maana yawezekana hakuna afanyaye maamuzi ya kutaka kuishi kimaskini lakini kutokana na njia atumiazo maishani kwa kutokujua hujikuta akiishi maisha ya kimaskini na sio kitajiri. Sasa kuna maana nyingi ya utajiri na umaskini, lakini leo nataka tuangalie katika njia tofauti tofauti.

Mtunzi wa mithali anaposema utajiri hufanya marafiki wengi anamaanisha ukiwa na vingi unavuta wengi. Hii ni katika nyanja tofauti kuanzia karama, uwezo wa kifedha, busara, upako na vingine vingi. Yakubidi kuwa makini maana kama unavuta wengi yamaanisha kati yao kuna wa kwako na wasio wako, nikimaanisha kuna mnao nia mamoja na msio nia mamoja. Umakini ni muhimu kwani lazima uweze kuwatambua na kujua jinsi ya kuwachuja. Ukiwa na vingi lazima uwe na busara ya Kimungu inayokukumbusha kutokuweka ulivyonavyo kuwa mungu wako. Lazima ukumbuke kuwa mnyenyekevu kwanza kwa Mungu wako alafu kwa watu walio wako hasa mnaonia mamoja.

Ukiwa na vichache sasa pia sio nuksi lakini pia sio baraka. Uchache huondoa mvuto na hivyo kuondoa watu. Uchache hukuondolea nguvu ya kutumika shambani mwa BWANA na hata kuwatumikia watu maana kila wakati unakuwa busy ukitafuta zaidi. Uchache pia hukuongezea lawama na manunguniko kwa Mungu wako na hivyo kukuondoa katika lengo lako la kuwepo duniani la kumtukuza na kumhubiri kwa wengine. Uchache hukuondolea furaha na pia hamu ya kuishi. Na ndio maana Suleiman akasema unibariki kwa kadri. Nisiwe na vingi nikakutukana na wala nisiwe na vichache nikakulaumu. Ni vyema kumuamini Mungu kuwa anatujua, na anajua kipimo chetu cha baraka ambacho kitatuweka kwake siku zote na kumshukuru na kumtukuza. Anatupandisha ngazi moja ya baraka baada ya nyingine, kwa imakini kabisa tusije tungeuka. Toka tumezaliwa Mungu hutupitisha kila ngazi ya ukuwaji kwa ufasaha, yaani ukizaliwa utaanza kutambaa muda ambao magoti yashapata nguvu ya kutosha kubeba mwili, utaanza kutembea muda ambao ushapata balance ya kutosha kuweza kusimama kwa miguu yako. Vivyo hivyo kuongea, kukimbia, kusoma,kupenda na kuanza maisha ya familia. Kila jambo huja ukiwa umeshakuwa tayari ukiwa ndani ya Mungu.

Anasema anatuwazia yaliyo mema na kwa hivyo tujiweke kwake naye atatuongoza salama katika baraka atupatiazo. Mungu hawezi kimbia kazi aliyoianza. Hawezi kukuacha. Nawatakia siku njema

Read More ...

0 comments

Vijana nchini na wananchi kwa ujumla
wametakiwa kujiamini kwamba wanaweza
kufanya makubwa kwa manufaa yao na ya Taifa,
licha ya kuwapo kwa kasumba kwa baadhi ya
vongozi ya kutowaamini Watanzania na badala
yake kuwaamini wageni.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald
Mengi, katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa
washindi wa Shindano alilolianzisha la kubuni
wazo bora la biashara, wa mwezi Aprili mwaka
huu.
Alisema katika jamii kumejengeka utamaduni wa
kuwaamini zaidi watu kutoka nje hasa
wawekezaji kwa kuwapa vipaumbele kuliko
wananchi husika, jambo ambalo linachangia
kukwamisha maendeleo ya nchi na kusababisha
umaskini.
“Tatizo ambalo baadhi ya viongozi linawatesa
mara kwa mara ni kuwa hawawaamini wananchi
wao; wanaamini kuwa watu kutoka nje ndiyo
wanaweza. Na katika uwekezaji, wawekezaji wa
nje ni rahisi kuaminiwa kuliko wa ndani,” alisema
Dk. Mengi.
Dk. Mengi alisema kuna umuhimu viongozi wa
kuwaamini wananchi wao na kuacha kuwakingia
vifua wageni kutoka nje, huku akisistiza kuwa ni
lazima nchi itumie kikamilifu uwezo wake wa
ndani kabla ya kufikiria kutafuta kutoka nje, ili
kujiletea maendeleo endelevu.
Alisema kama kuna Mtanzania anayeshindana na
raia kutoka nje kupata kazi ama kandarasi fulani,
na wote wana sifa zinazolingana, hakuna haja ya
kuona aibu kumpendelea Mtanzania.
Aidha, Dk. alisema Taifa limekumbwa na
saratani yenye sura tatu: rushwa, ubinafsi na
uongo na kuwataka vijana kutafuta dawa za
kutibu saratani hiyo na kutahadharisha kuwa
kama isipopatiwa tiba, Taifa haliwezi kuwa na
amani.
Kuhusu tatizo la umaskini, alisema umaskini wa
nchi unachangiwa na mambo mengi, ikiwamo
wananchi kutoshirikishwa kikamilifu katika
matumizi ya rasilimali za Taifa.
Kiongozi wa jopo la majaji wa shindano hilo,
ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Uongozi na Ujasiriamali (IMED), Dk. Donath
Olomi, alisema walipokea twiti 6,500 kutoka kwa
washiriki wa makundi mbalimbali nyingi zikitoka
kwa watu wa mikoani.
Dk. Olomi alisema mshindi wa kwanza wa
shindano hilo anatakiwa kuwa na wazo ambalo
linatekelezeka pamoja na kuanza kulitekeleza.
Aliwataka washiriki kufanya utafiti kabla ya
kubuni mawazo ili kuepuka kurudiarudia mawazo
ambayo tayari yapo.
Naye Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ibra
Contractors Ltd, Maida Waziri, aliwahamasisha
watu hususan wasichana waunde vikundi ili
kutoa wazo bunifu lenye ubora, huku akisema
ingawa kuna ushiriki wa kuridhisha, lakini ubora
wa mawazo bunifu bado hauridhishi.
Washiriki wawili, Daud Fabian, Mhitimu wa
Sayansi ya Kompyuta na Mhitimu wa Chuo Kikuu
Dar es Salaam, Anthony Mhanda, wamefungana
katika kushinda nafasi ya kwanza kwa Mwezi
Aprili. Kila mmoja alijinyakulia Sh. milioni tano.
Fabian alishinda kwa wazo la biashara
linalolenga kuanzisha mfumo wa ulinzi shirikishi
kupitia mfumo wa simu za mikononi kwa
kuwaunganisha wananchi katika njia moja
itakayotoa taarifa ya uhalifu utakapotokea ili
kuudhibiti. Mhanda alituma wazo la kujenga
maabara ndogo ya kuchakata na kupima ubora
wa asali ya wafugaji na wasindikaji mkoani
Katavi.
Washiriki wengine wanane ambao twiti zao
ziliingia katika 10 bora walizawadiwa shilingi
milioni moja kila mmoja. Washindi hao ni Dafrosa
Katarahiya, Philemon Naman, Salehe Senkondo,
David Dee, Freddy Freddy, Deodatus Mramba,
Mbonea Mpembeni na Yusuph Maglah.
CHANZO: NIPASHE

Read More ...

2 comments

 Image result for forever living
Forever Living Product ni Kampuni inayoshughulika na utoaji wa elimu na usambazaji wa bidhaa zenye virutubisho vya afya ikiwa ni pamoja na kinga na tiba kwa magonjwa mbalimbali. Pia inatoa elimu ya ujasilia mali inayomwezesha mtu kuongeza kipato cha ziada pindi akiwa bado kwenye ajira yake na bila kugusa muda wake wa kazi.
 Mbali na vitutubusho kwa afya, ina bidhaa za za urembo na utunzaji wa ngozi zisizo na kemikali - ni asilia Kampuni hii ilianzishwa huko Marekani mnamo mwaka 1978, na imekuwa ikiendesha shughuli zake katika nchi zaidi ya 158 duniani, Tanzania ikiwemo.
 Kampuni hii inatoa Fursa ya kuwa Msambazaji (sio machinga) , Mteja au vyote viwili. Mwenye kampuni atakulipa bonus ya asilimia fulani, kulingana na nafasi yako katika mfumo wa biashara uliowekwa na kampuni, kwa kila utakachokinunua na utakayemshirikisha akaenda kununua. Mfano wewe umenunua bidhaa, ukawashirikisha rafiki zako watano, nao wakaenda kununua, utalipwa kwa mauzo ya kwako mwenyewe, pamoja na hao watano uliowashirikisha (sio kwamba ni lazima ukauze, ila mwenye kampuni atakulipa bonus kwa bei ya kuuzia sio ya kununulia).
Jiulize, ni mara ngapi umekwenda dukani ukanunua soda si moja bali ni zaidi ya moja, jee huyo mwenye duka amewahi hata siku moja kukulipa bonus kwa soda ulizonunua?.
FLP itakulipa kwa chochote utakachokinunua kwa matumizi yako, au kwa kuwasaidia wengine. Malipo yatategemea ukubwa wa timu yako na mauzo yao, pia nafasi yako katika mfumo wa biashara
Biashara hii imewabadilishia watu wengi maisha kwa kipindi kifupi sana kuliko matarajio yao. Ni biashara ya kushirikishana: mimi nakushirikisha wewe, na wewe unamshirikisha mwingine, na mwingine na mwingine,... ukomo ni upeo wa macho yako.
 Hatupati pesa kwa kuuza bidhaa, bali kwa kuwashirikisha watu wengine, nao waweze kununua wenyewe, kisha nao wawashirikishe na wengine wakanunue. Unaweza ukaanza leo ukiwa pekee yako, lakini baada ya mwaka mmoja, miaka miwili, miaka mitano utakuwa na watu wangapi chini yako? Ni wengi sana, vivyo hivyo na pesa ni nyingi sana.
Yako mengi sana ya kueleza, lakini siwezi eleza yote kwa email. Ninachoamini na kukutia moyo ni kwamba, ukiiamua kwa dhati kwamba unataka maisha yako yabadilike uweze kuishi maisha ya matamanio yako, ingia katika kufanya biashara na kampuni hii.
Unachotakiwa kufanya ni - Kwanza ni Kujiandikisha, Pili ni Kununua bidhaa na kuzitumia, Tatu ni Kuwashirikisha wengine manufaa ya bidhaa na kipato, na Nne ni Kujenga timu. Mtaji mkubwa wa biashara hii sio pesa, ni mdomo wako - "Word of Mouth".
Kwa hiyo aliye na pesa na asiye nazo, aliye na elimu na asiyo nayo, maskini au tajiri, ... wote wanaweza kufanya hii biashara, kama tu watakuwa na mambo haya matatu - DESIRE (HAJA YA MOYO), COMMITMENT (KUJITOA) , ACTION (KUTENDA) Kwa afya pia ni kampuni yenye bidhaa bora sana. Mchanganyiko wa bidhaa za lishe kadhaa huweza kuondoa tatizo lolote la kiafya hata kama limekuwa sugu kiasi gani. Kampuni inatoa gerentii ya siku 30, kama utaona hukupata badiliko lolote katika afya yako, utarudishiwa pesa yako yote.
 Hapo napo unaonaje? Nakuachia uchambue kisha unipe jibu. Tembele tovuti hii www.flpmedia.com kwa kuifahamu vizuri.
 Je Ungalipenda kuboresha maisha yako ya sasa na ya baadaye kwa kuwa na AFYA BORA na KIPATO kisicho na ukomo? Jee wataka kuwa na MUDA mzuri wa kufanya mambo yako binafsi bila kuingiliwa na mtu yeyote? Jee ungalipenda kuona unawasaidia wengine kutoka katika dimbwi la MARADHI na UMASKINI? Kama jibu lako ni NDIYO, basi wasiliana nami kama unania hasa, na umechoka na maisha uliyonayo, unataka kupata maisha ya ndoto zako na kuwa mtu mwenye afya kamilifu.
 Dondoo: Kuna watu wana muda lakini hawana fedha, wengine wana fedha lakini hawana muda.
FLP itakupatia FEDHA na MUDA . HUHITAJI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUPATA FEDHA NYINGI ZA HALALI, SHIRIKISHA NGUVU YAKO NA WATU WENGINE UONGEZE KIPATO KISICHO NA UKOMO
Kwa maelezo zaidi wasiliana Nami 0713352384
kwa msaada wa blog ya faso Tanzania
Read More ...

0 comments


Hiki ni kinywa cha asili husaidia kuondoa sumu mwilinihusaidia mmeng'enyo wa chakula mwilini,kupunguza alaeji  mwilini na pia hutibu magonjwa kama ya KISUKARI,VIDONDA VYA TUMBO,BP na kuupa mwili nguvu kwa maelezo zaidi piga au whatsapp 0713352384.


Fab forever active boost ni kinywaji kisichokuwa na kilevi,husaidia kuupa mwili nguvu na kuondoa uchovu mwilini,pia huongeza uwezo wa kutunza kumbukumbu na kuondoa maumivu ya kichwa,kwa maelezo zaidipiga au whatsapp 0713352384


RGI+Ni bidhaa yenye L-Ariginine na vitamini complex husaidia mishipa ya damu kufunguka na kutoa uchafu ulioganda(cholestrol) na kusaidia damu kusafiri vizuri sehemu mbalimbali za mwili na hii husababisha 1-ufanisi wa kazi za moyo,2-kurekebisha na kujengeka kwa mifupa na kazi za misusing 3 kuboresha hamu ya tendo la ndoana nguvu za kiume,4- kusafisha sumu mwilini 5-kupunguza kasi ya uzee,
kwa maelezo zaidi piga au whatsapp 0713-352384

FOREVER BEE HONEY
Hii bidhaa husaidia kuondoa uchovu kuongeza nguvu,kikohozi,husaidia uponyaji wa vidonda nakujikojolea,pia ni nzuri kwa wenye presha yakushuka,kuboresha na kukomaza mayai ya mwanamke,na mbegu za kiume kwa maelezo zaidi pigaau whatsapp 0713-352384
Read More ...

0 comments