
Katika ulimwengu tumezungukwa na mambo mengi na kila wakati tunafanya uchaguzi. Katika moja ya chaguzi tufanyazo kwa kujua ama kutokujua ni aina ya maisha ya kuishi. Waweza taka ishi kitajiri ama kimaskini. Nasema kujua ama kutokujua maana yawezekana hakuna afanyaye maamuzi...