Forever Living Product ni Kampuni inayoshughulika na utoaji
wa elimu na usambazaji wa bidhaa zenye virutubisho vya afya ikiwa ni pamoja na
kinga na tiba kwa magonjwa mbalimbali. Pia inatoa elimu ya ujasilia mali
inayomwezesha mtu kuongeza kipato cha ziada pindi akiwa bado kwenye ajira yake
na bila kugusa muda wake wa kazi.
Mbali na vitutubusho
kwa afya, ina bidhaa za za urembo na utunzaji wa ngozi zisizo na kemikali - ni
asilia Kampuni hii ilianzishwa huko Marekani mnamo mwaka 1978, na imekuwa
ikiendesha shughuli zake katika nchi zaidi ya 158 duniani, Tanzania ikiwemo.
Kampuni hii inatoa
Fursa ya kuwa Msambazaji (sio machinga) , Mteja au vyote viwili. Mwenye kampuni
atakulipa bonus ya asilimia fulani, kulingana na nafasi yako katika mfumo wa
biashara uliowekwa na kampuni, kwa kila utakachokinunua na utakayemshirikisha
akaenda kununua. Mfano wewe umenunua bidhaa, ukawashirikisha rafiki zako watano,
nao wakaenda kununua, utalipwa kwa mauzo ya kwako mwenyewe, pamoja na hao
watano uliowashirikisha (sio kwamba ni lazima ukauze, ila mwenye kampuni
atakulipa bonus kwa bei ya kuuzia sio ya kununulia).
Jiulize, ni mara ngapi umekwenda dukani ukanunua soda si
moja bali ni zaidi ya moja, jee huyo mwenye duka amewahi hata siku moja
kukulipa bonus kwa soda ulizonunua?.
FLP itakulipa kwa chochote utakachokinunua kwa matumizi
yako, au kwa kuwasaidia wengine. Malipo yatategemea ukubwa wa timu yako na
mauzo yao, pia nafasi yako katika mfumo wa biashara
Biashara hii imewabadilishia watu wengi maisha kwa kipindi
kifupi sana kuliko matarajio yao. Ni biashara ya kushirikishana: mimi
nakushirikisha wewe, na wewe unamshirikisha mwingine, na mwingine na
mwingine,... ukomo ni upeo wa macho yako.
Hatupati pesa kwa
kuuza bidhaa, bali kwa kuwashirikisha watu wengine, nao waweze kununua wenyewe,
kisha nao wawashirikishe na wengine wakanunue. Unaweza ukaanza leo ukiwa pekee
yako, lakini baada ya mwaka mmoja, miaka miwili, miaka mitano utakuwa na watu
wangapi chini yako? Ni wengi sana, vivyo hivyo na pesa ni nyingi sana.
Yako mengi sana ya kueleza, lakini siwezi eleza yote kwa
email. Ninachoamini na kukutia moyo ni kwamba, ukiiamua kwa dhati kwamba
unataka maisha yako yabadilike uweze kuishi maisha ya matamanio yako, ingia
katika kufanya biashara na kampuni hii.
Unachotakiwa kufanya ni - Kwanza ni Kujiandikisha, Pili ni
Kununua bidhaa na kuzitumia, Tatu ni Kuwashirikisha wengine manufaa ya bidhaa
na kipato, na Nne ni Kujenga timu. Mtaji mkubwa wa biashara hii sio pesa, ni
mdomo wako - "Word of Mouth".
Kwa hiyo aliye na pesa na asiye nazo, aliye na elimu na
asiyo nayo, maskini au tajiri, ... wote wanaweza kufanya hii biashara, kama tu
watakuwa na mambo haya matatu - DESIRE (HAJA YA MOYO), COMMITMENT (KUJITOA) ,
ACTION (KUTENDA) Kwa afya pia ni kampuni yenye bidhaa bora sana. Mchanganyiko
wa bidhaa za lishe kadhaa huweza kuondoa tatizo lolote la kiafya hata kama
limekuwa sugu kiasi gani. Kampuni inatoa gerentii ya siku 30, kama utaona
hukupata badiliko lolote katika afya yako, utarudishiwa pesa yako yote.
Hapo napo unaonaje?
Nakuachia uchambue kisha unipe jibu. Tembele tovuti hii www.flpmedia.com kwa
kuifahamu vizuri.
Je Ungalipenda
kuboresha maisha yako ya sasa na ya baadaye kwa kuwa na AFYA BORA na KIPATO
kisicho na ukomo? Jee wataka kuwa na MUDA mzuri wa kufanya mambo yako binafsi
bila kuingiliwa na mtu yeyote? Jee ungalipenda kuona unawasaidia wengine kutoka
katika dimbwi la MARADHI na UMASKINI? Kama jibu lako ni NDIYO, basi wasiliana
nami kama unania hasa, na umechoka na maisha uliyonayo, unataka kupata maisha
ya ndoto zako na kuwa mtu mwenye afya kamilifu.
Dondoo: Kuna watu
wana muda lakini hawana fedha, wengine wana fedha lakini hawana muda.
FLP itakupatia FEDHA na MUDA . HUHITAJI KUTUMIA NGUVU NYINGI
KUPATA FEDHA NYINGI ZA HALALI, SHIRIKISHA NGUVU YAKO NA WATU WENGINE UONGEZE
KIPATO KISICHO NA UKOMO
kwa msaada wa blog ya faso Tanzania
Categories: