SEMINA YA KUBADILI MAISHA YAKO 2014
AMKA MTANZANIA imeandaa semina ya kubadili maisha
itakayofanyika jumamosi tarehe 18/01/2014.
Mada zitakazozungumzwa ni;
1. Wewe
ni zaidi ya unavyojijua.
2. Wewe ndiye kiongozi mkuu wa maisha yako.
3. Umuhimu
wa kujihamasisha na kujiendeleza binafsi.
4. Jinsi
ya kuweka malengo makubwa na utakayoyafikia.
5. Makosa
makubwa unayofanya wakati wa kuweka na kutimiza malengo yako na jinsi ya
kuyaepuka.
Semina itafanyika UBUNGO PLAZA, kwenye ukumbi wa chuo cha
INFOBRIDGE(MUGEREZI SPACIAL TECHNOLOGY)
Kiingilio ni TSH 10,000/= Muda ni kuanzia saa nne kamili
asubuhi mpaka saa nane kamili mchana.
Bonyeza
link hii http://bit.ly/1aawKcL kujaza fomu
ya kuhudhuriaau kwa maelezo zaidi tembelea hapa (http://www.amkamtanzania.com/
Categories: