Kwanza napenda kumshukuru MUNGU kwa kuniwezesha kuifanikisha blog yangu kuwa mshindi
  tatu napenda kukushukuru wewe ndugu yangu unayeitembelea blog hii na wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kwa kuiwezesha blog hii kuwa mshindi wa tatu hasa kwa waliopiga kura.,ndugu zangu pia napenda kuwashukuru Adimin wa Rafiki buzz,baadhi ya member wa jamii forums,kaka zangu ndugu Paul Mashauri na chris Mauki kwa kukubali kushare material na wapenzi wa blog hii, pamoja na wewe ndugu mdau mkubwa wa blog hii kwa kuniwezesha kupata tuzo hii.sina cha kuwalipa wote ila MUNGU muweza ya yote ndiye atakaye lipa.tunaomba mzidi kuwa karibu na blog hii kwa ushauri na kama una jambo unapenda ku share na wengine unakaribishwa,pia bila kuwasahau baadhi wa adimin wa jamiiforums wakiongozwa na invisible na member mbali mbali waliokuwa wakinipa mada mbali mbali kuandikia katika blog hii,nasema huuu si uhindi wangu pekee yangu bali ni wawote.pia kuna blog malimbali ambazo nimekuw ni kishare nao mada mbali mbali sitaweza kuzitaja moja moja hapa ila wanajijua ,nasema huu ni ushindi wetu sote
pia nimechelewa kuipost hii kutokana na ubusy wa hapa na pale,Asanteni sana
kwa yeyote mwenye mada nzuri za biashara na kutiana moyo asisite kunitumia tukashare wote
tuma kwenye email hii:godlistensilvan@gmail.com
Eee MUNGU ENDELEA KUTUBARIKI NA KUTUWEZESHA KILA SKU IITWAPO LEO NA UENDELEE KUTUFANYIA NJIA PANAPOKUWA HAKUNA NJIA NA UKATUFANYIE NJIA PANAPOKUWA HAKUNA NJIA,NA UKAWE ADUI WA ADUI ZETU
AMEN

Categories:

Leave a Reply