http://1.bp.blogspot.com/-JGGtqN21RCE/Ue1NuWUqoBI/AAAAAAAAD0I/PP_QBrzQlDw/s320/2013.jpg


Ndugu mdau  tunamshukru MUNGU muumba mbingu na dunia kwa kutupigania katika kila jambo
ndugu zangu ikumbukwe mwaka jana katika shindano la blog yetu  ilifanikiwa kushika nafasi ya pili katika kipengele cha ujasiri amali { habai za biashara}
sasa ndugu yangu mwaka huu shindano limerudi tena likiwa na mtazamo mpya ukiwa kama ndugu na jamaa na rafiki naombwa uipenekeze blog hii iweze kuingia katika category mbalimbali na unapaswa kuipendekeza kama wenye shindano wanavyotaka soma hapa bonyeza hapo

Vipengele vya Kushiriki na Sheria za Shindano la Mwaka Huu 2013

pia ningependekeza tuipendekeze blog hii kwenye vipengele hivi

 Best Business Blog

 Best Educational Blog

 Best Inspiration Blog

kwangu miminaona ndio vipengele vinavyohusu blog hii 

naman ya kufanya,

 
Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja

mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 

              gshayo.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hiyo ishirikishwe ambavyo ni

 Best Business Blog

 Best Educational Blog

 Best Inspiration Blog

unaweza kuongeza vingine lakini vya umuhimu ndio hivyo hapo juu

 
Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hizi

  tanzanianblogawards@gmail.com

au nyingine

 
nomination@bloggersassociationoftanzania.com

 Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 30/8/2013 saa 11:59pm saa za Africa mashariki

asante sana natumaini tumeelewana na tutapeana ushirikiano mzuri

barikiweni

Categories:

Leave a Reply