Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipigania,namrudishia sifa na utukufu.
Tukianza mada yetu ni hivi,kwa watu walioajiriwa wanatakiwa kujua nini waajiri wanataka kutoka kwako,jambo la kwanza wanalotaka ni
i-uchapakazi ni mtu ambaye akiingia kazini na kuanza kazi mara moja na sio mpaka kusaidiwa muda wote,au kuelekezwa na mtu.
ii-vilevile wanataka mtu mwaminifu wa fedha kumbukumbu na muda
iii-team bulder(team worker) kushirikiana na wengine.
Iv-kujieleza na kueleweka vizuri zaid.
V-mbunifu,kuleta mawazo mapya kuangalia mbele.
Vi-awe ni mtu wa malengo.
Ndugu zangu ukiyafanya haya utadumu kazini.
Fanya hvyo na utaona.

Categories:

Leave a Reply