Napenda kumshukuru MUNGU kwa kunipigania tena kwa siku hii ya leo ni siku mpya nakushukuru MUNGU kwa zawadi ya uhai sina mengi ya kusema zaidi ya kushukuru
pia nawashukuru ndugu jamaa na marafiki kwa ushauri wenu na ushirikiano wenu MUNGU ATUBARIKI

Categories:

2 Responses so far.

  1. Hongera kwa siku yako ya kuzsliwa..sijui umetimiza mika mingapi?

  2. Unknown says:

    Asante dada Yasinta

Leave a Reply