Paul R.K Mashauri's picture
 Napenda kumshukuru MUNGU kwa mambo mema mengi anayoendelea kunitendea mimi na wewe ndugu mdau wa Blog hii
pia napenda kukushukuru wewe mdau unayeendelea kutembelea blog hii ,pia tuwashukuru wadau mbalimbali wanaoendelea kutufunza kwa mada zao nzuri,
Ndugu mdau wangu ninayo furaha kubwa kuwajulisha kuwa blog yetu hii inazidi kupata wataalamu wengi, kwa sasa tumempata tena mkufunzi wa kimataifa ndugu yetu mpendwa wetu rafiki yetu katika kutufundisha mambo mengi yanayohusu UjasiriAma na mambo mengi ya biashara na maisha sina mengi ya kusema juu yake bali ni Mr. Paul R.K Mashauri, labda wengi watajiuliza P Mashauri ninani?
Mr. Paul R.K Mashauri is the current Chairman and Co-Founder of East Africa Speakers Bureau Limited (EASB). He seats in the SMEs Subcommittee of the Confederation of Tanzania Industries (CTI), Steering Committee of the Tanzania Responsible Business Network (TRBN), member of the Tanzania Professionals Network (TPN) and chairs the board of directors of the National Tour Operator Limited (NATOL) and 24 Hrs Print & Media Technologies Ltd.
asanteni sana na tumpe ushirikiano

Categories:

Leave a Reply