The point of no return is the point beyond which one must continue on his or her current course of action because turning back is-

physically impossible,

prohibitively expensive

or dangerous.

A particular irreversible action (e.g., setting off an explosion or signing a contract) can be a point of no return.


Katika Ujasirimali ina Bidi kutumia Point of no rerurn, kwamba pindi unapo ingia basi hakuna tena kurudi Nyuma na ni sawa na nilivyo wahi kusema Kuchoma Meli moto au Burn one's bridges, hapa ni pale ambapo majeshi baada ya kupita kwenye Daraja wlikuwa wana lilipua hivyo kuto kuwa na njia ya kurudi nyumbani.


1. Na katika Burn The Boaa hii ilitumika kwa mara ya mwaka 711 AD ambapo jeshi la Muslim walivamia Iberian Peninsula na kamanda Tariq ibn Ziyad akaagiza meli zake zote zichomwe moto

Nyingine ilikuwa mwaka 1519 AD ambapo Majeshi ya Spain yaliivamia Mexco na kamanda wa majeshi ya Hispania Hernán Cortés aliagiza Meli zao zote ziteketezwe kabla hawajaanza mapambano


2.Break the kettles and sink the boats, Hii ilitumiwa na Wachina ambapo ilikuwa ikimaanisha Xiang yu kamanda huyo alikuwa akiagiza Majeshi yake kuharibu means zote zilizo wafawezesha kuvuka mto hii ilikuwa mwaka 207 BC

So hii dhana ilitumika miaka mingi sana iliyo pita, na katika Ujasirimali ni razima kutumia Point of No Return, na hapa ni kwamba ni lazima usonge mbele na Ujasirimali wako bila kujalisha kinacho enda kutokea au hata kilicho tokea,

Categories:

Leave a Reply