Ndugu mwanablog hii Good business aidea inatokana na wewe mwenyewe, usitarajie mtu mwingine akupe business aidea iliyo bora, na lazima uumize kichwa sana kutafuta business aidea iliyo bora na ambayo ni sustainable

Unacho takiwa kufanya ni

1. Kukaa chini na kuangalia mazingira uliyopo na jamii iliyo nayo ni kitu kipi inahitaji?
- Ni kitu kipi wafanya biashara wengine hawafanyi? au wanafanya chini ya kiwango?
- Katika kuwaza kwako tageti miaka 5 hadi 10 ijayo, tusipende biashara ya zima moto

2. Soma sana makala ya uchumia na biashara kwenye magazeti na kwenye blog mbalimbali zilizoko humu TZ na nje ya nchi
- Mara nyingi makala nyingi za baishara na uchumi huwa na vitu ambavyo ukivikombaini pamoja unapata wazo zuri sana la biashara
- Na kuna vitabu vile vile
3. Angalia vipindi vya uchumi kwenye television mbalimbali za dunia, mle kuna opportunuty nyingi sana

4. Jaribu kutembea au kusafiri hata mikoani nina uhakika ukisafiri hata kutoka Dar hadi Arusha huwezi kosa wazo la biashara au kutoka Dar hadi mwanza kupitia Dodoma na singida na shinyanga,
- Mikoa yetu na maeneo mbalimbali yana furusa nyingi sana za biashara

5. Kwnye website mbalimbali za Business planing competition uki google utapata blog nying sana za mashindano ya kuandika michanganuo ya biashara na mle ndo kuna mawazo yaliyo enda shule

6. Anagalia treind ya uchumi wetu na watu wetu unaelekea wapi,

6. MWISHO JARIBU KUKUSANYA HATA AIDEA 10 HIVI THEN ZI CHUJE KULINAGANA NA MTAJI NA MAHITAJI HADI UPATE MOJA ILIYO BOR NA AMBAYO UTAIFANYIA KAZI

NA KWA WAKATI HUU WA SASA JARIBU KUTAFUTA AIDEA AMBAYO INAFOCUS MIAKA HATA 50 IJAYO KWAMBA HII BIASHARA NI NAYO ANZA NI SUSTAINABLE KIASI KWAMBA INAWEZA KUWEPO HATA MAIKA MINGI IJAYO, TUSIPENDE MAWAZO YA BAISHARA RAHISI RAHISI KAMA VILE KUUZA MITUMBA KUNUNUA BODA BODA NA KADHALIKA

Categories:

9 Responses so far.

  1. Unaposema tusipende biashara rahisi rahisi,sikuelewi,umesahau kwamba watu wengi wa hali ya chini ndo wanatafuta mbinu za kujikwamua.Sasa tusipoanza na hizo rahisi mitaji ya hizo biashara kubwa tutapatia wapi.Angalia upande wa pili wa shilingi,tusikatishane tamaa ndugu yangu.

  2. Unknown says:

    Ilo nalo neno kaka ..Athanas Ikale,

  3. A Lawyer. says:

    jamaa anazingua, mi nauza mitumba na napiga pesa fresh tu yan

  4. Sosthenesy says:

    Ukitaka kupata kumi lazima uanze na moja ustukatishe tamaa

  5. LUKU says:

    Laxima unaaza chini ndipo unaelekea juu sasa hilo wazo la leo huja specify mtaji wa hiyo sustainable business.

  6. Unknown says:

    Habari..Ningependa kujua hii biashara vizuri kupitia kwako

  7. Unknown says:

    Habari..Ningependa kujua hii biashara vizuri kupitia kwako

  8. Unknown says:

    Hapana nadhani jamaa hamjamuelewa anahokimaanisha ni kuanzisha biashara ambayo itajizalisha kwa upana zaid...kwa mfano sasa anamaanisha unaamua kubeba bidhaa yako na wenda mkoa flani kuuza kisha unapokuwa umeuza na kujua umeingiza kiasi gani unaweza kuchukua mzigo hukohuko mkoani ukaleta hata dar.....lakini pia inategemea na uhitaji watu wa eneo husika.....

Leave a Reply