NDUGU yangu ni lazima ukianza safari hakunakuangalia nyuma, ni Kama ile story ya kwenye Bible ambapo RUTI NA WENZAKEWAKATI WANAONDOKA KUTOKA MJI WA SODOMA NA GOMORA waliambiwa hakuna kuangalianyuma, bahati mbaya mke wa RUTHI alikumbuka Marafiki alio waacha, starehe zaSODOMA NA GOMORA then akajikuta natazama nyuma na hapo ndo akageuka kuwa NGUZOYA CHUMVI,

Kwenye Kuanza Biashara hakuna kutazama nyuma make kikwazo kikubwa sana kinachowafanya watu kutazama nyuma kama Mke wa Ruth alivyo fanya kule GOMORA ni vitukama

1. Starehe- starehe hufanya mtu atazame nyuma, make kuingia kwenye biasharakuna maanisha kuna starehe utaziacha kwa muda mpaka pale maisha yako au kampuniyako itakapo fanya profit ya kutosha

2. Marafiki- Hawa nao ni kikwazo kikubwa sana kinacho tufanya tunapo anzasafari tutazame nyuma, kuanza Biashara kuna maanisha kuachana na Baadhi yaKampani zako, utaviacha baadhi ya viwanja ulivyo zoea kwenda, na hautaambatanana Marafiki wako kamwe, sasa tukikumbuka haya inakuwa ngumu kwenda mbele bilakurudi nyuma

3. Familia- Familia zetu nazo ni sababu ya kwa nin i tunatazama nyuma, Kuanzabiashara kuna maanisha, hutakuwa karibu na Familia yako tena, utakuwa unarudiusiku na hata siku zingine kama ni biashara za kusafiri utakuwa unakata wiki aumwezi bila kurudi nyumbani, tukikumbuka haya tunashindwa kutembea mbele bilakutazama tuliko toka

4. Kazi/Mishahara/Marupurupu - Hizi ndo sababu namba moja zinazo tufanya tunapoanza safari tutazame nyuma, kabla ya kuanza hii safari huwa tunawaza Mishaharaya kila mwezi, Poshombalimbali, Magari ya kazini. Hapa tulizoea kufuatwanyumbani na magari ya kazini, kufanyia kazi kwenye AC kupata Breakfast kazini,

HIVI VITU NDO KIKWAZO KIKUBWA SANA, KUANZA SAFARI MPYA KUNAMAANISHA HUTA PATAMISHAHARA YA MWISHO WA MWEZI

So ni lazima tuwe kama Ruth alivyo ambiwa na MUNGU kwamba hakuna kutazama nyumamnapo ondoka SODOMA NA GOMORA, mungu alijua kabisa ule mji alikuwa na kila Ainaya Anasa na starehe ambazo RUTH hakuwa tiyali kuziacha that is wahy waliambiwahakuna kutazama nyuma
HIVYO UKIANZA KUINGIA KWENYE UJASIRIMALI HUKU UKITAZAMANYUMA, HUTAFIKA MBALI, KINACHO TAKIWA NI KUSONGA MBELE HATA UKISIKIA SAUTI ZIKIKUITA WEWE NI KUZIPUZIA NA KUSONGA MBELE

Categories:

Leave a Reply