Incubators ni Kifaa kinacho tumika kuangulia mayai, na hufanya kazi ambayo kuku hufanya, Ila tofauti na Kuku ambaye hutumia bilogocal katika kuatamia Mayai, Incubators mara Ntingi huhitaji akili za Binadamu kuindesha,

Na Incubators mara nyingi hutumika kuangulia karibia aina zote za Mayai yanayo tagwa na Viumbe wanao taga mayai,

1- Kuku
2. Bata
3.Njiwa
4. Ndege
5. Nyoka
6. Kobe
7. Mamba na wengineo wengi tu

Utafuti waga uko kwenye either aina ya Incubators au Seting,

Ila huwa zipo ambazo ni kwa ajili ya Reptilia na zingine kwa ajili ya Amphibia wote

Mambo Muhimu sana ya Kuzingatia wakati wa Kutumia Incubators

1. Kusoma Malezo ya Incubators ni Muhimu sana, na watu wengi hutumia tu uzoefu wao bila kusoma kitu ambacho sio sahihi kwani Incubators zinatofautina sana,

2. Watu hawajaribishi Incubators zao kwanza kabla ya Kuanza kuzitumia, Inashauriwa kwamba kabla hujaanza kutumia Incubators yako uliyo nunua, Jaraibu kuicha wiki nzima ikiwa On bila mayai, hii ni ili kuweza kujua jinsi inavyo fanya na kucheki kama Humidity pamoja na Joto vinavyo enda

3. Watu hawacontroi Ubora wa Mayi kabla hawajayaingiza kwenye Mashine, Mara nyingi unaweza kuta tatizo ni Mayai, make si kila mayai ni ya Kutotolewa

4. Kushindwa kujaza maji kwenye chombo cha kuhifadhi maji ndani ya Incubators, hii hufanya mayai kukauka kabisa

5. Kushindwa kugeza mayai mara kwa mara, kama Mashine yako si Automatic unatakiwa kubadili mayai kila mara







Categories:

Leave a Reply