KUCHOMA MELI MOTO,

The ancient Greek warriors ni moja kati ya Majeshi yaliyo yanapambana kwa nguvu zote katika historia ya Majeshi ya Enzi Hizo, Na hii si kutokana na walivyo fundishwa au Silaha walizo kuwa nazo, no ni kutokana na Commitment yao ya Kushinda Vita waliyo kuwa nayo.

Wagiriki walivyo kuwa wakifika Pwani ya Maadui wao Cha kwanza ambacho Kamanda wao alikuwa akiwaamulisha wanajeshi wafanye ni Kuchoma Meli zote zilizo wafikisha pale, Na wanajeshi kwa Pamoja walikuwa wakichoma Meli zote Moto,

MESSAGE HAPA ILIKUWA NI CLEAR KABISA,
1. There was no Turning Back
2. There was no retreat
3. No surrender

The only way out was Forward, Na ni Victory or Death, na hakuna outcome nyingine zaidi ya hizo Mbili za Kushinda Vita au Kuuwawa. Na hii stail iliwahi kutumiwa na Wamexco katika vita miaka ya 1500
-Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakiona Meli zao zikiwaka Moto walikuwa wanaogopa sana na wanajua kabisa hakuna Kurudi Nyuma, hakuna kujisalimisha, ila kazi ni Moja tu kushinda Vita

Katika Maisha tunahitaji kufanya kila liwezekanalo kufanya maamuzi ambayo ni sahihi kabisa, hatuwezi kuwa shihi muda wote lakini ukifanya analysisi utagundua hakuna kisicho wezekana. Ila tumekuwa tukikutana na vikwanzo vingi sana vinavyo tufanya Safari yetu isifike popote pale

1. Vikwazo kutoka kwa Familia yako
2. Marafiki
3. Ndugu jamaa na Marafiki
4. Wafanya kazi wenzako
5. Uoga wa hali ya Juu
6. Ukikumbuka kazi yako nzuri sana na malupulupu unayo pata
7. Ukikumbuka Marafiki zako na jinsi mnavyo badili viwanja kila wikend
8. Ukikumbuka mpenzi wako ambaye makeupenda sana kwa sababu tu ya kazi uliyo nayo
9. Mkopo wa kazini uliochukua
10. Kazini wewe ni Bosi
11. Unatembelea gari la ofisi
12. Unaishi kwenye nyumba ya kampuni
13. Familia yako inaheshima mtaa mzima kwa sababu tu wewe ni bosi mahali fgulani

Hivi vitu kila mtu akivikumbuka kusonga mbele huwa ni ndoto sana, Wakuu wa majeshi ya wagiriki walijua haya mapema sana, walitambua wanjeshi wanavyo enda vitani huku Nyuma wamewaacha wapenzi wao wano wapenda sana, wamewaacha marafiki, Ndugu na jamaa, Hivyo Bila kuchoma meli moto hawa watu wanaweza waamue tu kurudi nyuma na kurudi nyumbani kwa sababau bado wana watu walio nyuma yao.

Tunashindwa kusonga Mbele kwa sababu tunakuwa na optional Nyingi sana

1.Tuna mishahara tunategemea so hakuna Presha hata nikishindwa
2. Hakuna mtu atakaye jua kama nimeshindwa biashara kwa sababu maisha yangu yatakuwa vile vile
3. Famili yangu haitakuwa kwenye risk kwa sababu nina mshahara wa kutosha so haijalishi
4. Hakuna Down side

KWA NINI NICHAGUE KUCHOMA MELI MOTO?

1. Nitakuwa full committed
2. Your heart and mind itakuwa ni 100% focused.
3. No destractions
4. Hakutakuwa na side project kama ajira na kazalika,
5. Hakuna kuangalia Nyuma kwa sababu Ulisha choma moto Meli na hakuna njia ya kukurusha kule uliko kuwa
6. You can’t retreat back katika kazi yako ya zamani
7. You’re out on the street and forced to hustle
8. No flight, only fight
9. Utafanikiwa au utashindwa hivyo jaribu

Katika Kisi hiki nimejifunza mengi sana Baada ya Kuchoma Meli Yangu Moto na sina optional nyingine zaidi ya kuendelea na Ujasirimali wangu, Saving akaount yangu kila kukicha inazidi kuwa ndogo, The clock is ticking,
But nothing will force me to move faster and perform better than the raw instinct of survival.

So Unapo Ingia katika Ujasirimali ni Lazima ufanye hivyo na ni sawa na kuachwa kisiwana Pekee, Katika Biashara kuna Optional Mbili tu Kushinda au Kufeli, Ila kwa sababu kisiwani uko pekee yako ni lazima Upigane kufa na kupona ili kushinda na si kushindwa,

 
 
 
 
 
 
 
 
 

Categories:

Leave a Reply