USHINDI

Napenda kumshukuru MUNGU kwa mema mengi anayoendelea kutufanyia mimi na wewe
ndugu mdau wa blog hii sina mengi zaidi ni kutaka kutoa offer kwa msomaji wangu yeyote mwenye biashara yake au mada au tangazo lolote liwe la duka la nguo saloon shule nakadhalika.
natoa offer kwa weekend hii bure kabisa ila wewe mwenyewe ukivutiwa na huduma za hii blog tutapatana kuweka tangazo la mojakwa moja.
nimeamua kufanya hivi kwasababu blog hii inakuwa kila sikuna wanayoifanya kukua ni nyie wasomaji wangu sasa kazi ni kwenu
tuma kwenye email kama pich ya tangazo na maelezo
kama ukiitaji kutengenezewa wapo wataalam watakutengenezea
email:godlistensilvan@gmail.com
simu:0713352384

Categories:

Leave a Reply