kitabu kinauzwa kinaweza kubadilsha maisha yako
Summary za kitabu ni hizi
>
> 'Huwezi kushinda jambo au kitu chochote hapa duniani bila ya kuthubutu na
> kuchukua hatu ya ziada (You can't win until you try) Pale unachukua hatua
> ingine basi kunakuwa na mwanya ama nia ya kukitenda kile ulichoona chafaa
> kwa wakati huo, lakini ukisita kidogo hutaona mwelekeo wa mstakabali maisha
> yako.  Nia au nafsi (dhamira) zetu zimejaa *kushindwa* au kutoweza kufanya

> tunakuwa na hali ya uwoga wa kutothubutu kutenda hata kama hilo jambo
> twaweza kufanya laikini hali hii ya kuogopa inatudidimiza na tunashindwa
> kwenda mbele katika mstakabali wa maendeleo yetu.
> Dhana hii ya kushindwa kufanya lile tuliwazalo imejengwa katika ukuta wa *
> WOGA*  ambayo inapelekea kudidimia kimawazo na kuwa na fikra chanya juu ya
> yale tuyawazayo kufanya kwa wakati huo.  Hofu hii iko miongoni mwetu na
> inapelekea kudidimia na kuwa watu wa aina ileile siku hadi siku na kuwa
> katika wimbi la umaskini miaka nenda rudi.
> Mambo mazuri au mafanikio yeyote hutegemeana na maandalizi yake ya mapema;
> japo utakumbana changamoto ambazo haziwezi kukwepeka na njia rahisi na
> sahihi ni kuukaribiana nazo kwa hali na mali kupambana nazo.  Juhudi/bidii
> na maarifa sambamba na ubunifu vitakufanya ushinde kutoka katika mazingira
> hayo husika.
>
> Ndugu msomaji wangu wa utangulizi huu wa *Jicho la Wog*a km utachukua hatua
> ya ziada  basi utaona mafanikio katika nyanja zote za maisha yako.  Hebu
> nakuomba nunua* kitabu* hichi cha* Jicho la Woga* kitakupa mwangaza na
> changamoto ya kutoka hapo ulipo sasa na kuvuka hatua ingine ya mstakabali
> wa maisha yako.
> *Kwa mawasiliano zaidi piga: Mobile: 0784960517 / 0717503174
> kwa barua pepe: nikprintgraphics@yahoo.com
> SLP. 61012 DSM TANZANIA - EAST AFRICA*

Categories:

Leave a Reply