kwanza napenda kumshukuru MUNGU kwa mema mengi aliyotufanyia sisi kila siku iitwapo leo
tunakushukuru kwa zawadi ya uhai unayoendelea kutupatia hatuna cha kukupa ila tunarudisha kwako sifa na shukrani kwako
tunaomba ukatufanyie wepesi mwaka huu katika nyanja zote za kisiasa kiuchumi kijamii nk
ukatuongoze  vema na ukatuepushe na hatari zote za Roho na mwili na ukawe adui wa maadui zetu na washindani wetu.
ukatufanyie njia panapokuw hakuna njia.

Categories:

Leave a Reply