KWA SASA TUNA MWALIMU WA SIKOLOJIA KUTOKA CHUO CHA PRITORIA  AFRIKA YA KUSINI NDUGU CHRISS MAIKI KILA JUMATANOPIA SASA KILA SIKU ZA MWISHO WA JUMA TUNA KUWA TUNAKULETEA MAHOJIANO KUTOKA KWA WANA BLOGGER WENZANGU PIA NA WATU MAARUFU
PIA TUNAKUWEKEA KILA SIKU NAFASI ZA KAZI ,KWAHIYO USIKOSE KUTEMBELEA HPA KILA WAKATI
MAONI NA USHAURI NI JAMBO MUHIMU SANA
NA PIA KAMA UNA MADA YAKO UNATAKA KUSHARE NA WATU USISITE KUNITAARIFU ASANTENI.

Categories:

Leave a Reply