Semina iliyiandaliwa na mikono business consult jumapili wiki hii imefana sana kutokana mwitikio mkubwa sana wa watu Daresalaam wa kutaka kupanua wigo wao katika weledi wa mambo ambayo yatawapelekea kuongeza ufanisi wa kazi na maisha yao.Mwaandaaji wa semina hiyo Mr Deogratius kilawe amesema Ni mwendelezo mzuri wa mfululizo wa kila wiki semina zenye kuleta mwamshuo mpya wa kimaendeleo ili kuweza kuwatengeneza watanzania waweze shiriki katika uchumi wa dunia huku wakiwa na vigezo husika,
Deo aliongeza na kusema kuwa baada ya kufanya dar kwa muda mfulululizo , wiki hii tarehe 8 sept watafanya nairobi kwenye hoteli ya Hilton hotel Jijini Nairobi na baada ya hapo watakuja Dar tarehe 14 sept kufanya semina nyingine kubwa hapa mlimani city na mwezeshaji siku hiyo hapa daresalaam atakuwa ni Prof Flora Fabiani Mtanzania mweneye weledi mkubwa sana na amekuwa akifanya semina mbalimbali Magharibi katika mavyuo mbalimbali na kuleta mabadiliko makubwa sana na sasa ni zamu ya Tanzania kuanza kuleta mabadiliko hayo makubwa ya uelewa, Na mada itakuwa HOW TO UNLEASHING YOUR INNER POTENTIALS
http://www.achieversmagazine.blogspot.in/

Categories:

Leave a Reply