NDUGU
yangu ni lazima ukianza safari hakunakuangalia nyuma, ni Kama ile
story ya kwenye Bible ambapo RUTI NA WENZAKEWAKATI WANAONDOKA KUTOKA MJI
WA SODOMA NA GOMORA waliambiwa hakuna kuangalianyuma, bahati mbaya mke
wa RUTHI alikumbuka Marafiki alio waacha, starehe zaSODOMA NA GOMORA
then akajikuta natazama nyuma na hapo ndo akageuka kuwa NGUZOYA CHUMVI,
Kwenye Kuanza Biashara hakuna kutazama nyuma make kikwazo kikubwa
sana kinachowafanya watu kutazama nyuma kama Mke wa Ruth alivyo fanya
kule GOMORA ni vitukama
1. Starehe- starehe hufanya mtu
atazame nyuma, make kuingia kwenye biasharakuna maanisha kuna starehe
utaziacha kwa muda mpaka pale maisha yako au kampuniyako itakapo fanya
profit ya kutosha
2. Marafiki- Hawa nao ni kikwazo kikubwa
sana kinacho tufanya tunapo anzasafari tutazame nyuma, kuanza Biashara
kuna maanisha kuachana na Baadhi yaKampani zako, utaviacha baadhi ya
viwanja ulivyo zoea kwenda, na hautaambatanana Marafiki wako kamwe, sasa
tukikumbuka haya inakuwa ngumu kwenda mbele bilakurudi nyuma
3. Familia- Familia zetu nazo ni sababu ya kwa nin i tunatazama nyuma,
Kuanzabiashara kuna maanisha, hutakuwa karibu na Familia yako tena,
utakuwa unarudiusiku na hata siku zingine kama ni biashara za kusafiri
utakuwa unakata wiki aumwezi bila kurudi nyumbani, tukikumbuka haya
tunashindwa kutembea mbele bilakutazama tuliko toka
4.
Kazi/Mishahara/Marupurupu - Hizi ndo sababu namba moja zinazo tufanya
tunapoanza safari tutazame nyuma, kabla ya kuanza hii safari huwa
tunawaza Mishaharaya kila mwezi, Poshombalimbali, Magari ya kazini. Hapa
tulizoea kufuatwanyumbani na magari ya kazini, kufanyia kazi kwenye AC
kupata Breakfast kazini,
HIVI VITU NDO KIKWAZO KIKUBWA SANA, KUANZA SAFARI MPYA KUNAMAANISHA HUTA PATAMISHAHARA YA MWISHO WA MWEZI
So ni lazima tuwe kama Ruth alivyo ambiwa na MUNGU kwamba hakuna
kutazama nyumamnapo ondoka SODOMA NA GOMORA, mungu alijua kabisa ule mji
alikuwa na kila Ainaya Anasa na starehe ambazo RUTH hakuwa tiyali
kuziacha that is wahy waliambiwahakuna kutazama nyuma
HIVYO
UKIANZA KUINGIA KWENYE UJASIRIMALI HUKU UKITAZAMANYUMA, HUTAFIKA MBALI,
KINACHO TAKIWA NI KUSONGA MBELE HATA UKISIKIA SAUTI ZIKIKUITA WEWE NI
KUZIPUZIA NA KUSONGA MBELE
Categories: