SauzWest Productions ni music production studio iliyopo Mabruda Street Soweto Moshi.Studio hii imeanzishwa rasmi mwezi March 2012. Studio ya Sauzwest imeshaanza kufanya kazi na wasanii mbalimbali na Soon Studio itaachia wimbo wa kuitambulisha studio.

Kwa sasa studio hii inafanya muziki wa Hiphop na Reggae na RnB na Bongo Fleva.Tunawakaribisha sana wasanii wote kutoka popote

na Kwa wasanii wa Kilimanjaro wanapunguzo maalum la bei.

Mpaka sasa Sauzwest Production imewasaini kwenye lebal kundi la
1.The Revolution Army
 (Yahaya aka Stim ama ST,DeoMatata ,Luka aka Sige,Nasoro aka NACZ,Mad aka Mad legendintown,Nasser aka Chief Nasser na Markden)

2.Jax
Bado Studio iko kwenye harakati za kuwasaini wasanii wengine wenye vipaji.

Tunapatikana kwa

C.E.O Mark Denning 0717935546
Studio Manager/Legal Officer Deo Matata 0717022842
Office     0732972838
Email   sauzwest@gmail.com
www.facebook.com/Sauzwest Productions
Na Soon tutapatikana www.sauzwest.com
Pia unaweza kusikiliza kazi zilizo fanyika SAUZWEST PRODUCTION kwa kubofya hapa http://www.reverbnation.com/markden

Pia unaweza ku LIKE page ya SAUZWEST PRODUCTION kwa kubofya hapa www.facebook.com/SauzWestProduction
 
TUSHIRIKIANE KUUKUZA MUZIKI WA KILIMANJARO

Categories:

Leave a Reply