mambovipi TZ siyo kawaida yetu kuweka post kama hii lakini imetubidi tufanye hivyo kutokan na sisi tuko hapa kwa lengo la kutaka watu wafanikiwe
Jinsi ya kuwapigia kura AY na Cpwaa kwenye tuzo za Channel O
AY
na Cpwaa wametajwa kuwania tuzo kwenye Channel Music Video Awards 2012.
Kilichobaki ni watanzania kuwapigia kura kwa wingi ili tuzo zije
nyumbani.
Hivi ndivyo unavyotakiwa kufanya.
AY MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR
AY
ft Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 14J kwenye simu
yako na tuma ujumbe kwenda +27 83 920 8406 (makato ni ya meseji ya
kawaida)
MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO
AY ft Sauti Sol – I Don’t Want To Be Alone andika 13C kwenda +27 83 920 8406
MOST GIFTED MALE VIDEO
AY ft. Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 1E kwenda namba hiyo juu
MOST GIFTED DANCE VIDEO
Cpwaa – Hmmm andika 5F kwenda namba hiyo hiyo.
Unaweza kupiga kura kwenye website ya Channel O
AU
Facebook
Categories: