ndugu mdau tunayofuraha kubwa kukujulisha kuwa tumepata Mwalimu atakaye tukamilishia blog yetu kutimiza azima yake ya kuitwa blog ya UJASIRIAMALI NA SAIKOLOJIA
sasa ndugu zangu tumebahatika kuwa na mkufunzi wa masuala ya saikolojia ambaye pia  Chris Mauki is an assistant lecturer at the University of Dar es Salaam. His area of specialization is in social psychology and counseling.kwahiyo tutakuwa tunapata masomo yake hapa kwenye blog yetu angalau kwa week mara moja au mbili kwahyo kuwa mkao wa kupata masomo hayo kuanzia sasa
pia tuna penda kumshukuru Ndugu Chriss kwa kutubalia ombi letu na pia tumshukuru rafiki wetu wa karibu Sam sasali wa blog ya http://samsasali.blogspot.com/ kwa mchango mkubwa wa kufanikisha shughuli hii
tupeane ushirikiano

Categories:

Leave a Reply