Kwanza napenda kumshukuru MUNGU kwa kuniwezesha kuifanikisha blog yangu kuwa mshindi
pili napenda kukushukuru wewe ndugu yangu unayeitembelea blog hii na wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kwa kuiwezesha blog hii kuwa mshindi wa pili hasa kwa waliopiga kura.,ndugu zangu pia napenda kuwashukuru Adimin wa Rafiki buzz na blog ya Tanzania blog award kwa kuniwezesha kupata tuzo hii.sina cha kuwalipa wote ila MUNGU muweza ya yote ndiye atakaye lipa.tunaomba mzidi kuwa karibu na blog hii kwa ushauri na kama una jambo unapenda ku share na wengine unakaribishwa,pia bila kuwasahau baadhi wa adimin wa jamiiforums wakiongozwa na invisible na member mbali mbali waliokuwa wakinipa mada mbali mbali kuandikia katika blog hii,nasema huuu si uhindi wangu pekee yangu bakli ni wawote.pia kuna blog malimbali ambazo nimekuw ni kishare nao mada mbali mbali sitaweza kuzitaja moja moja hapa ila wanajijua ,nasema huu ni ushindi wetu sote
Eee MUNGU ENDELEA KUTUBARIKI NA KUTUWEZESHA KILA SKU IITWAPO LEO NA UENDELEE KUTUFANYIA NJIA PANAPOKUWA HAKUNA NJIA NA UKATUFANYIE NJIA PANAPOKUWA HAKUNA NJIA,NA UKAWE ADUI WA ADUI ZETU
AMEN

Categories:

4 Responses so far.

  1. gud job kijana na well done kwa ushindi huo..

  2. Thanx wamtaani blog kwa ushirikiano wenu

  3. ASANTE MAMA WA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO TUKO PAMOJA

Leave a Reply