TZ Yangu Ya Geophrey Tenganamba, Temino-Clouds FM ya tarehe 11/08/2012 na Abella Bateyunga na Haris Kapiga. TOGETHER AS ONE
topic  –
TZ Yangu – Jinsi ya kujenga Moyo wa Kutokata Tamaa.

Maisha ni magumu usikate tama, ukisimama unaweza kuangushwa, ukiangushwa unaweza kukanyagwa, ukikanyagwa unaweza kushindiliwa, ukishindiliwa unaweza kuzikwa. Katika yote, ukiangushwa usikubali kuendelea kulala chini simama tena na anza upya tena. Maana ya mafanikio ni kuishi maisha  kwa kupigania yale uyatakayo bila kuvunjika moyo na zaidi ni kusimama tena na tena.  Kila mwanadamu anataka kufanikiwa, na mwisho wa siku anayeshinda ni yule anayesimama tena akiangushwa.

soma zaidi
www.treasurehousewithinyou.blogspot.com

Categories:

Leave a Reply