Nauliza swali je umasikini wa Tanzania ni nini hasa?Ni Raia wenyewe?au Serikali?au wafadhili?Je mbona nchi kama Somalia haina serikali lakini raia wake matajiri sana,na wana-run nchi zote karibia Africa,USA,Asia, makampuni makubwa na ndio matajiri!Huku nchi yao ikiwa haina hata serikali?Kama unataka jua ukweli Tizama posta,kariakoo,miji kama mwanza,Moshi,Arusha Wasomali ndio sasa wanazidi sambaa na kuwa matajiri!The same case to kenya wasomali wana run kwa asimilia ililuwa kuliko iliyo ya Tz.
http://www.achieversmagazine.blogspot.in/search?updated-max=2012-08-02T22:41:00-07:00

Categories:

One Response so far.

  1. Anonymous says:

    Tanzania imeraaniwa .......... we ogopa nchi ambayo 1.Haina ndege 2.Haina meli 3.Haina train ya uakika 4.Haina viwanda, mbaya inauza utambulisho wake(wanyama) na mbaya zaidi wajanja wanatumia bendela ya taifa kuuzia mafuta yao ...........ni uozo mwingi tu, ukichanganya na mengine ndo unaweza gundua umaskini wa mtz chanzo chake nini??? ACHILIA MBALI JUHUDI BINAFSI AMBAZO NDIZO ZINAZOTUMIKA MPAKA SASA!!

Leave a Reply