NANENANE MBEYA KWAZIDI KUCHANGAMKA


Wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake wakiingia kwenye uwanja wa John Mwakangale kujionea maonyesho ya kilimo

Banda la kampuni ya simu ya TTCL 

Wafanyakazi wakampuni ya TTCL Mbeya wakitoa maelezo kwa wananchi wanaotembelea banda hilo

Moja ya wafanyakazi wa TTCL Mbeya akimweleza mwananchi jinsi mtandao wa kisasa wa kuweza kuwsiliana na kufanya mikutano kwa kuonana kwa kutumia Televisheni inayotumia matandao wa kisasa

Hili banda la Benki kuu ya Tanzania tawi la mbeya moja ya wanfanyakazi wa benki hiyo akiwaeleimisha wanafunzi jinsi benki hiyo inavyofanya kazi katika maonyesho hayo yanaoendelea katika kiwanja hicho

Baadhi ya wananchi wanaoendelea kutembelea banda hilo la BOT tawi la Mbeya wakipatiwa maelezo ya jinsi ya kutunza fedha na kutambua noti badia na noti halali

Chuo kikuu teku nao wapo uwanjani hapa

Kama kawaida biashara ya mitumba inaendelea uwanjani hapa wananchi wakijipatia viatu kwa bei rahisi

Biashara ya mitumba ya nguo inaendelea

http://mbeyayetu.blogspot.com/2012/08/nanenane-mbeya-kwazidi-kuchangamka.html

Categories:

Leave a Reply