Ndugu mdau wa blog hii napenda kujibu baadhi ya maswali na kero mbali mbali kuhusu blog hii
jana kwenye wall yangu na inbox nimepokea malaalamiko kuwa mbona vitu vingi ninavyoviandika au kupost kwenye hii blog si vya kwangu?
ni kweli kabisa si vyakwangu ni vya watu mbali mbali wanao nitumia kwenye my email wakitaka kubadilishana mawazo na watu sasa wanapotuma wengine wananiambia niandike chanzo cha habari na wengine hawataki niandike chanzo cha habari ,sasa ninachofanya mm naandika kama nilivyopewa habari baada ya kuipipti na kugundua kweli hii kitu inafaakupost na kushare na wengine.
kero nyingine au maswali ninayoyapata mengi ni juu ya matangazo ya kazi/ajira wengi wanafikiri kuwa hizi ajira ninaandika mimi.hapana ndugu zangu hizi nafasi za ajira unachotakiwa wewe ni kufuatilia kufanya taratibu zote zinazostahilki ku apply hizo job.na si kuniandikia mm barua za kuomba kazi
na mwisho ni juu ya matangazo kwenye hii blog matangazo ni kitu cha maelewano baina yangu mimi na wewe na si vingine..
mwenye maswali mengine usisite kuniandikia kupiia email yangu
godlistensilvan@gmail.com na hata kama una mada yeyote unayotaka kushare na watu mbalimbali unakaribishwa
Asanteni kwa ushirikiano wenu

Categories:

One Response so far.

Leave a Reply