blog ya Gshayo inapenda kuwapongeza wote walioitwa kwenye usaili wa kuajiriwa kwa muda kazi ya kyhesabu watu na makazi
na kesho tar 02.08.2012 ndio siku walioitwa kwenye usaili kupitia kata zenu na ambao hamkujua hilo nendeni kwenye kata ili mkaangalie majina yenu kama yameteuliwa

Categories:

Leave a Reply