NAMSHUKURU MUNGU MUUMBA MBINGU NA DUNIA NA VITU VYOTE VINAVYO ONEKANA NA VISIVYOOONEKANA.
NISIKU NYINGINE TENA NIKIWA NA FURAHA YA KUKUMBUKA SIKU YANGU YA KUZALIWA NASEMA ASANTE SANA
PAMOJA NA HAYO NAPENDA KUWASHUKURU WAZAZI WANGU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI KWA KUNILETA HAPA DYNIANI,BABA YANGU SILVAN NA MAMA YANGU MARY MUNGU HAZIWEKE ROHO ZENU SEHEMU YENYE FURAHA NA AMANI.
PIANAUNGA NA NDUGU ZANGU DADA YANGU MAGDALENA NA WADOGO ZANGU GODFREY NA RICHARD KWA KUWA PAMOJA KATIKA KUTIANA MOYO NA KUPEANA MBINU ZA KIMAISHA NASEMA ASANTENI SANA NDUGU ZANGU NA TUZIDI KUMWOMBA MUNGU HUTUZIDISHIE NGUVU NA MAHARIFA KUPATA MAHITAJI YETU YA ROHO NA MWILI.PIA TUENDELEE KUWAOMBEA WAZAZI WETU PAMOJA NA MDOGO WETU KIPENZI JACKLINE MUNGU AMLAZE NAYE MAHALI PEMA PENYE RAHA NA AMANI.
PIA NAPENDA KUWASHUKURU NDUGU WENGINE NA MARAFIKI KWA KUNIPA MOYO PAMOJA NA KUNIPA MBINU ZA KIMAISHA NASEMA ASANTE.
PIA NIKUSHUKURU WEWE UNAYEPENDA BLOG HII NA KUNIPA MOYO,USHAURI NK.
NDUGU ZANGU YAPO MENGI YAKUANDIKA LAKINI NAISHIA HAPA NA NIKIMWOMBA MUNGU ANIZIDISHIA AKILI NA MAHARIFA YA KUTENDA YALE YANAYOMPENDEZA YEYE NA PIAANIPE AKILI YA KUFANYA JINA LAKE LISIFIWE KUPITIA MIMI.
PIA NIMSHUKURU KAKA YANGU ALIYENIWEZESHA KUIMARISHA BLOG YANGU NA KUWA YA KISASA NDUGU YANGUISSAM AZIZI MUNGU AKUBARIKI KAKA.
ASANTENI SANA NA NTAPENDA KUPATA USHIRIKIANO KUTOKA KWENU.
BARIKIWENI
Categories:
HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA.
Asante dada yasinta Mungu akubariki.