Pole na shughuli.

Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao wanataraji kuwapa washindi si chini ya $1.0m.

Waandaaji (ANIC) wameweka wazi kwamba wanahitaji idea zipate comment/criticism/mawazo ya watanzania na mashabiki wengine ili kutuvusha katika hatua nyingine tena ya pili baada ya kuvuka ile ya kwanza.

Ili kuweka comment/criticism/mawazo au maoni yako katika idea yetu tafadhali click/tembelea link hii:

http://africannewschallenge.tumblr.com/post/26896159176/gushit-yakitz-kwa-watz-tanzanias-crowdsourced-new

Ahsante
Gushit Team

Categories:

Leave a Reply