Habari marafiki zangu, Ni siku na muda mwingine uliomwanana sana leo nataka niwakumbushe mambo muhimu ambayo yatawapa kusonga mbele ktk shughuli zako za kila siku, hususani kukupatia maendleleo. Jambo la kwanza ni kuthubutu kufanya yale uliyoyakusudia na la pili usitake kukata tamaa hata kama unaona giza wala huoni mwanga wa matumaini yako, mwaka ndo huo unakwisha wala huoni nini ulichofanya kwa miezi sita hii napenda kukwambia usikatishwe tamaa na barries zinazokuzonga katika njia yako. wewe kaza buti songa mbele Yuko yeye aliyeianzisha safari (Mungu) ndiye atakayemalizia siku njema by ladyfurahia member of jf

Categories:

2 Responses so far.

  1. tupo pamoja na hakuna lisilowezekana!!

  2. Kweli kabisa dada yasinta tuko pamoja sana

Leave a Reply