Ndugu zangu wadau wa blog hii ya ujasiri amali napenda kutoa shukrani za dhati kwa kuiwezesha blog yangu kuwa miongoni mwa Blog 5 bora za ujasiri amali.napenda kuwashukuruni ninyi nyote kwa kazi kubwa mliofanya pamoja na wana Bloger wenzangu kwenye vipengele vingine,sasa ndugu zangu tumepewa tena wiki mbili za kupiga kura ili kuwezesha zipatikane blog bora katika vipengele tofautitofauti kwani Blog yetu hii imewekwa kwenye kipengele cha Best Entrepreneurial Blog kwahiyo cha kufanya wewe ni kuingia kwenye blog ya Tanzania blog awardz ambayo ni http://www.tanzanianblogawards.com/ na kuingia kuipigia kura blog yetu hii ya ujasiri amali ambayo utakuta kama hivi Best Entrepreneurial Blog http://businesslinktz.blogspot.com http://gshayo.blogspot.com http://intellectual-business.blogspot.com http://pedama.blogspot.com http://sokonibongo.blogspot.com cha kufanya wewe ni kuvotekwenye blog namba mbili ambayo na http://gshayo.blogspot.com na uwe unafanya hivyo kwa kila siku kwa muda wa wiki mbili Asanteni sana na MUNGU AWABARIKI NA KUWARUDISHIENI MARADUFU KWA MLICHO KITUMIA

Categories:

2 Responses so far.

  1. Asante dada yangu wa Blog ya maisha na mafanikio

Leave a Reply