Katika biashara ndogo kuna aina mbili za wamiliki:Watu ambao wanaruka toka hatua na kukimbilia hatua nyingine katika uendeshaji wa biashara zao na kutangaza biadhaa na huduma zao kwa umma na huku wakiwa hawana malengo kabisa au malengo kidogo sana,Na watu ambao wana malengo mkakati wa bidhaa na huduma zao walitengeneza kabla ya kufikiria kuzitoa kwa umma.
Je kati ya hawa kuna ambaye ni bora?ndio na hapana

Upangiliaji unakupatia wewe muda wa kutafakari na kufikiria mpango unaowezekana kabla ya kuwekeza moja kwa moja muda,nguvu na fedha zako kwenye wazo lako la biashara.Asilimia tisini na tano(95%) ya muda, inashauriwa kuwekeza katika kupangilia san asana pale ndio kwanza unaanza biashara mpya au unazindua bidhaa/huduma mpya.Muda utakao tumia kwa tafiti juu ya biashara na kuchunguza mbadala biashara ni sawa na muda utakao tumia kufikiri jinsi ya kutatua mambo kipindi biashara ipo kwa kipindi kigumu cha matatizo ndani ya biashara,na utakupatia zawadi kubwa tosha/tija baadae.

Kwa upande mwingine,kuwa na malengo mengi/yaliyozidi kunapelekea kutofanya lolote.Kuna usema unasema”Kutoweza songa mbele katika mradi kazini kwa sababu unahisi huna taarifa zote muhimu,na haupo tayari kusonga mbele mpaka utakapo kuwa na uhakika asilimia mia moja za kufanikio.Kila mtu aliyejiajiri lazima atakuambia hamna kitu kama hicho kuwa na uhakika asilimia mia moja.

Kuna fursa ya kuruka hatua duniani kwa biashara ndogo.Kuruka hatua inakupatia wewe kuwa mwepesi na kuayendesha mawimbi ya shauku la mafanikio.Kuruka hatua inakupatia uhakika wa asilimia themanini na tano(85%) na kusonga mbele.Urukaji wa hatua mzuri ni tendo ambalo linajumuhisha weledi,kujipa moyo na uaminifu.
.
Kwa hiyo in wakati upi mzuri wa kuruka mzuri?Ni vizuri kuruka wakati tayari una msingi imara umeujenga kwa biashara yako.Hii ina maana uwe na fedha za uhakika na mfumo wa biashara ambao tayari unafanya kazi ya kuleta kipato cha uhakika katika biashara yako,na uongozi imara ambao unamipango imara ya sasa na baadae.

Kuruka ni sawa kama umefanya tafiti ya kutosha kadri ya kutosha na una mantiki ya kutosha juu ya mradi unaofanya na pia uwe unashaurika vema,ingawa hauna uhakika asilimia 100% wa kufanikiwa.
Kwa uchambuzi muunganiko wa kupangilia mambo hatua kwa hatua na kuruka hatua inahitajika kwa watu wote ambao wajiajiri.Ufungo wa mafanikio hapa ni kuweka swa mambo hapa(usawa na mitazamo yote kulingana na hatua na hali ya biashara)
source:http://www.tanzaniaachievers.blogspot.com

Categories:

Leave a Reply