Wakuu ni kweli kabisa kwamba swala la capital limekuwa gumu sana hasa kwa new starter, na benki nyingi haziko tayari ilikuwakoposha fresh business man, wanapenda ambao wameisha anza na kikwazo kingine ni proparty za kuweka kama security ya mkopo,

- Upatikanaji wa mitaji kwa Tanzania ni swala gumu sana na watu wengi wamekuwa wakilia hili swala vijana wengi sana wemekuwa wakilia na kila mtu anakuambia ana Aidea but hana mtaji,

- Na soni suluhishao la mapema la hili swala kwani mabinki nayo yako kibiashara zaidi na yana riba kubwa sana kiasi kwamba mkopaji inabid kwenye aumie sana kwenye kulipa.

- T
UNGEWEZA KUPUNGUZA HILI TATIZO KAMA KWELI WATU WANGEJENGA UAMINIFU WA KUFANYA BIASHARA PAMOJA NA KUUNHANISHA MITAJI, ILA TATIZO KUBWA LINAKUWA

1. Tunapenda sana kufanya biashara individualy yaani kila mtu anataka aonekane anafanya biashara yeye kama yeye that is why watu hawataki kuunganisha nguvu

2. Uaminifu mdogo sana

PAMOJA NA MATATIZO YOTE HAYA INABIDI SASA WATU WAWEKE KANDO MASWALA MENGINE NA WAUNGANISHE NGUVU ZAO, MAKE TUKISEMA HAKUNA UAMINIFU NI KWELI BUT NI LINI UAMINIFU UTAKUJA? JE TUKAE TUSUBILI SIKU UAMINFU UKIRUDI NDO TUANZE KUUNGANISHA MITAJI?

Tukisema tusubiri tutakuja kukuta mwana si wetu make kama tuanavyo ona kila siku kuna wawekezaji wapya wa ndani na nje wanakuja kuwekeza Tanzania na wengi wao ni wakenya na hawa ukijaribu kuwachunguza wameunagainisha mitaji yao pamoja watu kama watano sita na kuja kuwekeza bongo na wala wakenya hawaji na mitaji mikubwa huku kwetu, ila sisi tunabaki kuaumu serikali haitupi mikopo wakati kenya wamesha laumu wakachoka na sasa wameamua watoke kivyao, haya tuanayo lalamikia ya mitaji hata kenya, uganda na kwenineko yapo sana.

OK WAKUU NAZANI TUNGEFANYA HIVI

1. Kwa wale wenye mawazo yanayo fanana ni bora sasa wakaanza kungalia namna ya kuunganisha nguvu, make tukisema kila mtu atoke kivyake ili ndugu, jamaa na marafiki wamuone kwamba anafanya biashara peke yake na mali zote ni zake haya na maana tena wakati wakutafuta sifa umeisha kwisha, wakati wakusema hatumaniniani umekwisha na now ni lazima watu wawe siliasi na si tuendelee na usanii wa kuto kuaminiana.

Na tuipende kufanya kivyetu make wenzetu wa EA hiki ndo kitu kinacho wasaidia sana hata kuagiza mizigo nje ya nchi ila sisi tunapenda sana kufanya kila mtu kivyake vyake

So
- Wale wa Miradi ya ufugaji kuku na waliopo maeneo ya karibu wanaweza fanya hivyo mfano

1. Dar watu wanaweza anza network za kuunganisha mitaji kwa biashara zinazo fanana mfano,
- UFUGAJI WA KUKU
- UFUGAJI WA NG'OMBE MAZIWA/NYAMA
- KILIMO CHA MBOGA
- MIGAHAWA NA KADHALIKA BIASHARA ZIKO NYINGI ILA HUO NI MFANO TU

Na hii inaweza kuwa kwa wale waliko sehemu za karibu Dar, mwanza, arusha, dodoma, mbeya, bukoba, tanga na kwingineko

Wakuu tukisema kila mtu atoke kivyake ili asifiwe na ndugu na jamaa, hatutaweza kufanikiwa kabisa, make wazungu wao wanaunganisha mitaji wanakuja kuwekeza huku sisi tunabakia kulalamika, ok tufikirie mwisho wa kulalamika kwa ishu ya mitaji ni lini<

NIBORA TUKAANZA ILI SIKU SYSTEAM ZIKIWA NZURI BASI TUKUTWE TUKO MBALI SANA NA SI TUSUBILI SYSYEAM ZIWE NZURI AMBAPO HATUJUI NI LINI,

Ok hayo ndo maoni wakuu

Categories:

Leave a Reply