-Watu wengi wamekuwawakisikia hili neon na kuna wanao fahamu, VSLa ni Vikundi vya Hisa ambavyo kwajina jingine wanaita VICOBA, hivi ni vikunndi vinavyo undwa na wakina Baba,wakina mama, na hata vijana,

- MASHILIKA YENYE KUTOA HII HUDAMA HAPA TANZANIA,

Vikundi vyahisa ni kitu ambacho ni hot sanakwa sasa na kuna mashirika kibao yanatoa hii service na mengi ya hayo ni yakutoka nje ya nchi yaani Intetnational Organization

a.CareInternational- hawa ndo waanzilishi wa VICOBA
b.Planinternatinali
c.Oxfarm USA
d.CRS
e.AGAKHANFOUNDATION
f.VICOBA
g.Fhi
h.TASAF

- Hayo ni moja ya mashirika machache yanayo toa hiihuduma hapa Tanzaniaingawayako mengi sana

HISTORIA YA VICOBA/VSLa

-Huu mfumo ulianziahuko NIGER mwaka 1994 na ulibuniwa na Care Internatinal, Care wana operatekaribia Dunia nzima, Nigerndipo huu mfumo wa VICOBA/VSLa ulipo asisiwa

- Kwa nini NIGER?

-Kule Niger wanawakewalikuwa wananyanyaswa sana na waume zao, na ukiingatia NIGER ni nchi yaKisilamu, so huo unyanyasaji ndo ulifanya Care wakabuni kitu cha kuwa saidiahawa wakina Mama, ndo wakabuni VSLa ambapo wakina mama walikuwa wakiundavikundi vayao na wanakuwa wanachangiana kwa kununua hisa na kukopeshana

-


TANZANIA
-Huu mfumo kwa Tanzaniauliletwana Care na ulianzia Zanzibarkwamara ya kwanza and then uka sambaa hadi Bara
-Kwa Care pekee yake kunazaidi ya VIKUNDI 40,000 50,000 vya hisa Tanzaniakote na unafanya kazi katika Mikoa kama Arusha, Tanga, Manyara, Kilimanjaro,Singida, Dodoma,Morogoro, Pwani, Mwanza,Shinyanga, Kigoma, Dar, naZanzibar

JINSI MFUMO WAVICOBA/VSLa UNAVYO FANYA KAZI

1. Kwanza kuna kuwa na kikundi cha watu 15- 30
2. Wanakutana kila Wiki
3. Wanaluwa na vioongozi waowatano, Mwenyekiti,Katibu, mweka hazina na wahesabu fedha wawili
4. Wanakuwa na katiba yao
5. Wanakuwa na sanduku lakufungwa kwa kufuli Tatu
6. Hili sanduku linatunzwa namweka hazina wao
7. Ila anaye Tunza sandukuhawezi kulifungua make kuna watu wengine wa tatu wanao tunza Funguo za sanduku
8. Kikundi kinapanga thamani yahisa
9. Wanakuwa na mfuko wa jamii
10. wanakuwa wanatoa mikopo kwa wanachama wake
11. Mwisho wa mwaka wanagawana fedha zote

HIVI VIKUNDI VYA HUSA, VSLa/ VICOBA
-Kikundi kinaweza pangathamani ya hisa yake moja kuna baadhi ya vikundi vinatumia thamani kubwa navingine thamani ndogo
a. 500
b. 1000
c. 2000
d. 3000
e. 5000
f. 10,000
g. 15.000
h. 20,000
- Inategemeana na uwezo wa wanakikundi husika, Hapani kwamba kila wiki mtakuwa mkinunua hisa Tanzo so kama limit ya wiki ni hisaTano maana yake kamahisa moja ni Tsh 20,000 kwawiki utatoa Tsh 100,000 kununua hisa Tano
-Na si razima ziwe hisaTano unaweza nunua Moja, au Mbili au Tatu ila haitakiwi kuvuka Tano


-MIKOPO KWENY HUU MFUMO WA VICOBA/VSLa

-Mikopo yake inatolewakwa members peke yake, na mwana kikundi ana uwezo wa KUKOPA MPAKA MARA TATU YATHAMANI YA HISA ZAKE, kamasiku ya Mkopo wewe hisa zako zina thamani ya Tsh 500000 basi utakopa Tsh1,500,000 limiti
-Hii ni ili kudhibitiwatu wasio nunua hisa nyingi kukopa pesa nyingi
-Mikopo inatolewa kilabaada ya wiki nne

-RIBA ZA HII MIKOPO

-Vikundi vingi vinatoza5% vingine 10% ila limiti ni 10% so hii inapigwa kwa mwezi, means marejeshoyanafanyika kila mwezi

-KUGAGAWANA FEDHA ZA KIKUNDI
- Inapo fikiamwisho wa mwaka au majuma 52 kikundi kitagawana fedha zake zote hapa kikundikilicho kuwa siriasi unakuta kina hadi MILIONI 100 AU MIA 50
- kikundihakitagawana kwa pasu no Kuna mahesabu yake na yule mwenye hisa nyingi ndoatakaye pata pesa nyingi kuliko wengine


-JE HIVI VIKUNDI NI KWA VIJIJINI TU?
-Jibu ni hapana KuleTanga nilitembelea kuna hadi wahindi kwenye hivi vikundi inategemeana tu nathamani ya hisa yenu moja
-Kuna watu wanamilikimagari na miradi mikubwa bado wako kwenye hivi vikundi,
-SO HIVI VIKUNDI VIKPHADI MIJINI TENA NDO VINAFANYA VIZURI


-JE NI KWA MASIKINI PEKEE?
-Jibu ni HAPANA ingawalengo la kubuniwa lilimanisha hivyo, ila kwa sasa hadi matajiri wamo na kunawanao nunua hisa moja Tsh LAKI MOJA


-JE NI LAZIMA KUKUTANA KILA WIKI?
-Jibu ni hapana, mnaweza kukutana kila mwezi, VODACOM wametoa mfumo wa kuoperate kwa M-PESA hatamkiwa mbali mbali mnaweza operate


-JE INAFANANA NA SACCOS?
Kuna mfananoFulani ila kuna vitu vichache vinatofautiana, SACCOS inaweza toa mikopo kwawasio members lakini VICOBA haiwezi, wanachama wa SACCOS wanaweza kuwa hata mialakini VICOBA/VSL ni 30 limit


KAMPUNIYA VODACOM(M-PESA) NA TIGO(TIGO PESA WATENGENEZA LAINI MPYA KWA AJILI YA HIVIVIKUNDI

-Wakuu hi indohabari njema kabisa, kwa sasa Kampuni ya VODACOM wametoa laini special kwaajili ya hivi vikundi vya HISA/VICOBA/VSL na inafanyiwa kazi katika mikoa yakanda ya Kaskazini
Vikundivinaoperate kupitia M-pesa, haina haja ya kukutana kila wiki,
so0urce:http://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/252350-ifahamu-vsla-village-saving-and-loan-association-vicoba.html

Categories:

Leave a Reply