wakuu habari zenu nina wazo ambalo nimeona nije niongee na nyinyi
Kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko kuhusiana na swala zima la mziki pamoja na movies za kibongo kwa kusema kuwa wanaonewa nimekaa na kuwazua nikaona ipo haja ya sisi wazawa kuanzisha system ambayo itasaidia kukuza muziki wetu na katika hili nimekuja na wazo kama sio hoja binafsi
Sisi tukianzisha website yetu pamoja na software system yetu ambayo muziki wote wa tanzania utaifandhiwa humo
Lets say tuiite jamii.com
Ukiingia huko utakuta kuna nyimbo zote za wasanii kwa alphabert order so msanii anaweza kufungua akaunti yake na kuhifandhi nyimbo zake huko Albamu yake n.k
MSanii ana uwezo wa kupanga bei yake na na watu kununua kazi zao kwa m pesa, tigo pesa na airtel money vile viel kukawa na system ya mabenk yetu kama crdb, nbc n.k
Tukawa tunafanya vikao na elimu kwa wasanii kuwa kuliko kiipeleka redioni kwanza wakawa wanaiweka ka website hiyo then watu wenye redio ndio wanafuata
Tunafuta system ya kutoa nyimbo kwa cd kwani cd ndio mwanzo wa kuibiwa kazi z wasanii kuwa zinAchomwa sisi mtu ili upate nyimbo ya msanii flani lazima uwe na software yetu kwa komputa au mobile na inakuwa vigumu kumrushia mtu au kumkopia mtu ambaye hana program yetu aidha kwenye simu yake au kwenye komputer yake
I think tukifanya hivi baada ya miaka mitano tatizo la kazi la wasanii kulia kuibiwa litaisha
Msanii mwenye account yetu atafaidika kwa mambo yafuatayo

Anauwezo wa kupanga bei yake

Yeye ndio anachukua asilimia kubwa ya mapato kuliko sisi 90 percent kwa 10 percent

Kutakuwa hakuna duplication ya kazi za msanii bila idhini yetu na kila duplicate moja inalipiwa na mapato yanaenda kwa msanii na sisi

Tunataka kuua mfumo wa cd na kuileta katika digital download

Msanii atakuwa anaweza ku monitor mapato yake kwani kazi zake zitakuwa zinauzwa kwa website yetu ambaye na yeye ana account kama msanii


Na hii sio kama mada zingine zinazoanzishwa bila ya kufanyiwa kazi hii kazi inafaNywa sasa hivi research inafanywa now

Nakaribisha maoni
Changamoto.ushauri
Na kila kitu nitajaribu kukijibu
source:http://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/235143-muziki-wa-tanzania-waweza-kuingizia-billioni-100-kwa-mwaka-iwapo-tukifanya-yafuatayo.html

Categories:

Leave a Reply