Ndugu zangu katika kupanga bei za bidhaaa au huduma mbalimbali kuna mambo mengi sana ya kukosider hapa,
Kwanza unaweza chaji bei zako kwa watu tofauti yaani kwa kada tofauti hii inakua na manufaa sana kwako wewe

1. COST PLUS PRICING
Hii ndo njia kuu ya kupanga bei na inayo tumiwa na wafanya baishara wengi sana dunia nzima
Hii ni njia ambayo inatumika sana yaani unaangalia ghalama za uzalishaji theni unaongeza hapo faida kidogo mfano umezalisha kitu fulani kwa sh 50,000 basi hapo utauza 70,000.
ILA NJII HII INA MADHARA YAKE,NI KWAMBA HAINGALII
1 COMPETITORS WENGINE WANAFANYA NINI KWENYE SOKO
2. HAINGALII KUBADILIKA BADILIKA KWA MAHITAJI YA HUDUMA AU BIADHAAA ZENYEWE
3. HAINGALII NI JINSI GANI MTEJA ANACHUKULIA HUDUMA HUSIKA AU BIDHAAA HUSIKA




SO UNAFANYAJE?

KUNA NJIA NYINGINE ZILIZO BORA AMBAZO ZINATUMIKA KUPANGA BEI YA BIDHAA NA HUDUMA NAZO NI

1. BEI NA UWEZAKANO WA MBADALA/ PRICE AND AVAILABILITY OF SUBSTUTE
Je kuna mbadala wa huduma yako? mfano mimi nauza mikate na wengine wanauza mandazi je hao wa maandazi bei zao zikoje?

2. WASHINDANI KATIKA SOKO
- Razima uangalie washindani wako wa IT wana fanya nini na je wewe ni nini cha ziada utakacho fanya kwenye huduma yako?

3. KIPATO CHA WATEJA
- Je wateja wako watamudu bei za huduma yako? lazima uangalie kama watamudu au la

4. JE KUNA GHALAMA ZINGINE ZA ZIADA KWA MTEJA?
rAZIMA UANGALIE KAMA KUNA GHALAMA ZINGINE AU BEI YAKO NDO YA MWISHO?
Mfano: Mteja akinunu gari bado kuna ghalama zingine kama kodi ya serikari, Bima, leseni mbalimbali na kazalika

4. MAZINGIRA YA SOKO/MARKET ENVIROMENTAL
- Razima uangalie mazingira ya soko ya koje, je kuna uhitaji mkubwa sana wa huduma hiyo unayo toa? je uhitaji unapungua?

Categories:

Leave a Reply