KWA HUKU BONGO NI KINYUME KABISA,

Namba 1.
- Hapo namba moja ni sahihi kabisa hakuna masahihisho yoyote

Namba 2
Addult
- Hapo tuna Enegy ya kutosha kabisa kufanya kazi,
- Hatuna pesa kabisa
- Tuna muda mwingi sana
Kwa kifupi ni kwamba watanzania wengi muda si kitu kabisa ndo maana utawakuta watu vijiweni wanapiga story asubuhi hadi jioni, Watanzania tunatumia muda mwingi kusalimia watu, Huwa tunafanya ziara za kusalimia watu wa mtaani,

Namba 3.
- Hatuna muda kabisa hapa ndo watu huzinduka, wanaita kuvuta shuka asubuhi, hapa ndo shughuli za ujasiriamali huanza
- Hatuna pesa make ndo miangaiko huzidi
- Hatuna nguvu, yapu hapa huwa nguvu zimepungua sana
Ukweli ndo huo ukipita mijini na sehemu nyingine utawaona wazee wamebeba magunia, matenga ya nyany, wengine wanauza kahawa na kazalika,
Muda ambao walitakiwa wawe wamekaa wanakula mafao yao ndo muda wa kuhangaika na maisha
source:http://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/215029-truth-for-many-but-not-for-us.html

Categories:

Leave a Reply