Nakushukuru MUNGU muumba mbingu na dunia kwa memma mengi uliyotujalia na unayoendelea kutujalia kilasiku iitwapo leo.
Ndugu zangu tumemaliza mwaka kwa neema ya MUNGU na baraka zake ametuonyesha tena mwaka huu 2012
Ndugu zangu mwaka 2011 wengi tulijiwekea malengo na wengi wetu tumeyafanikisha na wengine wetu bado kama bado tusikate tamaa kwani bado MUNGU anaendelea kutupigania mimi na wewe tuendeleee kumwomba bila kukata tamaa.
Pia tusissite kujiwekea malengo yenye mtazamo chanya au yanayotekelezeka.kumbuka kuwa kuna nafasi nyigi za kufanikisha haya yote.
hizo ndio salamu zangu za mwaka 2012 ujumbe wangu ni
THIS IS MY YEAR

Categories:

Leave a Reply