New Year Resolutions


“One of the most courageous things you can do is identify yourself, know who you are, what you believe in, and where you want to go- Sheila Murray Bethel”

Free entrance new year resolutions 2012 Come and learn the greatest 7 powers to awaken your soul of Greatness,learn on how and where to start your business without capital,the power of personal magnetism.Kichwa Chako ni dhahabu ya utajiri, The Richest Goldmine in you books and many other powerful books will be available.

“Huwezi kuwa unavyotaka kuwa kama utaendelea kuwa jinsi usivyotaka kuwa”

"Mwanadamu amebeba hazina kubwa ndani yake na wengi wanaishi chini ya viwango na kufa kimaskini pasipokulijua hili"

Njoo tujumuike sote, wafanyakazi,wafanyabiashara,Wanafunzi na kwa wanaotafuta kazi zipo fursa za kazi pia ili kwa mwaka huu mpya tuwe jinsi tunavyotaka kuwa.

Zipo nguvu saba zitakazofundishwa na maisha yako yatapata maana. Zaidi waweza kuwasiliana nasi kwa 0714477218, 0755306799 na 0713284488.

Mwenge Josam House,K-Link international office hall, Oppossite na Mwenge Bus terminal,, Dar Es Salam, Dar Es Salaam, Tanzania

Karibuni sana. Kuanzia saa tisa mchana mpaka saa kumi na moja jioni, siku ya jumapili tarehe 29/01/2012. Bila kiingilio.
source:http://www.treasurehousewithinyou.blogspot.com/2012/01/new-year-resolutions-2012.html

Categories:

Leave a Reply