FaceBook ni mtandao wa jamii ambao unatumiwa sana na vijana wadogo pamoja na wanafunzi waliopo vyuoni kuliko watu wazima. Ni njia inayoonekana kuwa rahisi kukutana na marafiki wapya au hata kukutanisha watu waliopotezana muda mrefu.
Wakati watu wakifikiri kuwa wanafahamu kila kitu kuhusu FaceBook bado kuna mambo hawayajui. Sasa ni wakati wa kufahamu mambo 5 usiyojua kuhusu FaceBook.
Mark Zuckerberg na mbwa wake ''Beast"

1.Mbwa wa mwanzilishi wa FaceBook Mark Zuckerberg,aitwaye 'Beast' naye ana account yake katika Face Book na account hiyo ina zaidi ya mashabiki 133,000.

2.Kuna Injinia mmoja katika kila Injinia milioni moja ambao wanatumia FaceBook.Na kwa sasa kuna developers 500 ambao wamejitolea kuiendeleza FaceBook.

3. Wakati wa mapumziko wafanyakazi wa Face Book huwa wanapendelea kucheza mchezo uitwao ''Chess"na uwa wanapendelea kucheza mchezo huo jikoni.

4.Katika ofisi za FaceBook kuna birika ya kuchanganyia kahawa inayoitwa "Poke"ambayo inafanana na kitufe (button)iliyopo kwenye FaceBook inayoitwa "Poke".
poke icon ya FaceBook

5. Ukifika Ofisi za Facebook swali la kwanza kuulizwa litakuwa ni "Are you here for job interview or a meeting?" Baada ya hapo ndio mengine yatafuata.
Hapa ndio ofisi kuu za FaceBook

Categories:

Leave a Reply