Ndugu mpendwa wa blog hii inapenda kutoa pole kwa wale wote waliopatwa na maaafa, ya mafuriko na wote walioaga dunia tunawaombea kwa Mungu ili awape pumziko la milele,pia Tunapenda kutoa pole kwa Serikali y Jamhuri ya muungano ya TANZANIA kwa maafa hayo makubwa
Mungu atatupigania kuepuka na majanga mengine kama hayo
BARIKIWENI

Categories:

Leave a Reply