Namshukuru Mungu kwa Mambo mengi anayoendelea kunitendea mimi pamoja na wewe ndugu Mdau
Ndugu mdau ngoja nianze mada iliyo nileta hapa.kufaulu ktk maisha au ktk kitu chochote unachofanya hakumaanishi kwamba wakat wote ni kufanya kile kitu ambacho ni the best bora.kitu ambacho ni kizuri ambacho hakuna mtu yeyote ambaye hakuwahi kukifanya,kushinda maana yake ni kufanya kitu ambacho ni bora kuliko kitu ambacho ulikifanya nyuma,kushinda ni kufanya kitu ambacho ni bora kuliko ambacho ulichowahi kufanya,kwahyo ndugu mdau kila wakat omba Mungu akufundishe uwe na tabia ambayo unafanya kitu bora ambacho ulichowahi kufanya ktk maisha yako ya Jana.
Barikiwa.

Categories:

Leave a Reply