NDUGU MDAU WA BLOG YETU KAMA KAWAIDA NA KAMA MAOMBI YENU YALIVYOTUFIKIA KUWA KILA WEEKEND TUWE TUNAFANYA MAHOJIANO AU KILETA HISTORIA YA KITU AU YA MTU,AU JAMBO LOLOTE LILE LEO NINGEPENDA KUEASHIRIKISHA KUMJUA MISS TANZANIA WETU AMBAYE KWANGU MIMI NINAONA ANAIWAKILISHA VIZURI TANZANIA JAPO MASHINDANO YENYEWE KWANGU MIMI YAPO KINYUME NA MAADILI YETU SISI WAAFRIKA.
MSOME HAPA UPATE KUMFAHAMU MWANA DADA HUYU

Miss World 2011 - Tanzania - Salha Israel KIFAI

PERSONAL INFORMATION
Name : Salha Israel KIFAI
Age : 18
Height : 1.68
Languages : Swahili & English
BIOGRAPHY
Salha is currently a student hoping to become a lawyer. Hobbies include: swimming, watching movies, dancing and visiting national animal parks. Salha describes herself as courageous and confident and her personal motto is ‘Think Big, Dream Big, Achieve Big.’
INTERVIEW
Tell us a little something about your Country ?
Tanzania is a country with the highest mountain in Africa, Mount Kilimanjaro. It has the beautiful island of Zanzibar and some of the biggest national parks.
Future ambitions ?
To become a lawyer.
Describe yourself
I am courageous and confident, ready to face any challenge.
Personal Motto?
Think big, dream big, achieve big.
Favourite food ?
My favourite food is Chinese pilau.
Favourite Music / Books ?
My favourite musical genres are R&B and pop.
Do you have any pets ?
I have two cats at home.
Special Talents ?
My talent is dance.
Any other interesting facts ?
I have visited Tanzania National Park many times. I like playing with small animals like baboons; I can even hold a python in my hands.

Miss Tanzania 2011, Salha Izrael Kifai akipita jukwaani na vazi la jioni wakti wa shindano maalum la kumtafuta Top Model wa Dunia ikiwa ni moja ya sehemu ya shinjdano la Miss World 2011. Pia Sahla alishinriki katika shindano lingine la Ufukweni hapo awali.

Categories:

Leave a Reply