Kuna mambo mengi sana ambayo unapaswa kuyafanya,hapa nataka kukupa njia kumi za kukufanya wewe uendelee kuwa maskini,sasa hapa ni jukumu lako uamue kuendelea kuwa maskini kwa kusifuatisha,au kufanya kinyume na hizo njia na uendelee kuwa mtu mwenye mafanikio,kwahyo kazi kwako kufanya uchaguzi,haya naanza kuandika hzo hapo chin
1-USIPENDE KUAMKA MAPEMA.
2-UKIPATA PESA TUMIA TU,KESHO ITAJISUMBUKIA YENYEWE.
3-USIWAZE SANA KUPELEKA HELA BANK.
4-USIJIUSISHE NA MAMBO YA ELIMU NA BIASHARA.
5-USIFIKIRIE KUANZISHA BIASHARA,SUBIRI MPAKA MALAIKA ASHUKE AKUPE MTAJI.
6-LAUMU KTK KILA KITU,WEWE UKIONA CHOCHOTE,UKISIKIA CHOCHOTE LAUMU TU.
7-TUMIA ZAIDI MAPATO YAKO.
8-JINUNULIE GARI AMBALO LINAZIDI MSHAHARA WAKO MARA TATU.
9-FANYA USHINDANI KTK MAVAZI YA BEI YA JUU
10-WAPE WATOTO KILE KITU WANACHOHITAJI KWA SABABU WEWE NI MZAZI MZURI.

Ndio hzo njia kumi za kuendelea kuwa maskini kwa mtu yeyote yule kwa hyo ni uamuzi wako wewe ufanye upembuzi yakinifu,yapi ufuate na yepi uache,chagua moja kuendelea kuwa maskini au kufanikiwa ktk Maisha yako,
kama unazo za nyomgeza usisite kushare na sisi kwahiyo kazi kwako kuchagua njia iliyo sahii

Categories:

Leave a Reply