Ndugu zangu napenda kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipigania mimi na wewe,ametulinda katika hatari za Roho na Mwili
Ndugu yangu leo ningependelea tuone tofauti kati ya MJINGA na MPUMBAVU
Mpumbavu ni mtu ambaye ajui na ajuikama hajui na hataki kujua.lakini mjinga ni mtu ambayeajui kama hajui na anataka kujuaau yuko tayari kujifunzana kuboresha maisha yakekwahiyo nawezakusema zama hizi watu wengi hawako tayari kuwawajinga na badala yake tunakuwa Wapumbavu
kwahiyo ndungu yangu namalizia kwa kusema
KUWA MJINGA NIKULE KUWA NA UJINGA NA KITU CHOCHOTE KILE HAPO NDIPO MTU UNAKUWA MJINGA

Categories:

14 Responses so far.

  1. Unknown says:

    Wewe mwenyewe ni MPUMBAVU ambaye hujui kama hujui maana ya kuandika neno HAJUIA badala yake unaandika AJUI. What the big MPUMBAVU you are.

  2. Unknown says:

    Bado hujatoa mifano juu ya ujinga na upumbavu kuna watu hawajakuelewa

  3. Subo26 says:

    We nae mpumbavu,HAJUIA ndo nini?

  4. Unknown says:

    MJINGA ni mtu ambaye hajui kitu ila akifundishwa ama kuelimishwa anakuwa tayari kubadilika..MPUMBAVU ni mtu ambaye hajui kitu na hayupo tayari kurekebishwa wala kujua kitu.

  5. Unknown says:

    bado so sijaelewa ma'an ya mbumbavu

  6. Unknown says:

    Mpumbavu ni mtu ambaye hanaufahamu na kitu flani, lakini yeye anajiona kuwa anafahamu na hataki kubadilika kwasababu anaamini kile anachokifahamu ndicho ambacho ni sahihi.

  7. Unknown says:

    Mpumbavu ni mtu ambaye hanaufahamu na kitu flani, lakini yeye anajiona kuwa anafahamu na hataki kubadilika kwasababu anaamini kile anachokifahamu ndicho ambacho ni sahihi

  8. Anonymous says:

    Tumieni kauli nzuri,ni bora mno,

  9. Anonymous says:

    Ni majani yatokanayo na mpampai yanapatikana kule kwenye shamba la nyanya na mizizi yake ni dawa ya ugonjwa wa akili unaweza kutumia ukapona kabisa ukawa chizi akili ikapoa ikawa baridi barafu

  10. Anonymous says:

    HUJUIA unamaanisha nini?

  11. Anonymous says:

    Swadataa

  12. Anonymous says:

    Mhhh goole utakachokutananacho ndo icho

Leave a Reply