Ndugu mpendwa wa Blog hii yetu ya kupeana mbinu mbalimbali za kufanikiwa inapenda kukushukuru kwa kuitembelea na kutoa michango yenu ya mawazo
ndugu wapendwa wetu moja ya maoni ambayo tumekuwa tukiyapokea toka kwenu ni juu ya kufanya mahojiano na watu ambao wamefanikiwa katika maisha haya ya kawaida,lengo likiwa ni kuzidi kupeana mbinu mbalimbali za kufanikiwa kupeana njia zilizo bora na kupata mafanikio ya kweli katika Uliumwengu huu tunapoishi kwahiyo basi ningependa kutoa mawasiliano yangu ili kwa yeyote mwenye kutaka kufanya mahojiano na blog hii anaweza kuwasiliana nasi kwa barua pepe godlistensilvan@yahoo.com
mahojiano yatafanyika kwa lugha utakayo penda mwenyewe.
pia blog hii imekuwa ikipokea mapendekezo mbalimbali kuwa inapaswa iwe na mdhamini ili iweze kuboreshwa zaidi,kwahiyo basi tunapenda kukaribisha wadhamini pamoja na matanazo katika blog hii hakika tunakuwa na ushirikiano mzuri .
Tunatanguliza shukrani zetu za pekee kabisa tunapenda endeleeni kutuma maoni tenu kupitia email yetu.
MUNGU AWABARIKINI NYOTE na AWATIMIZIENI HAJA ZENU.

Categories:

Leave a Reply