picture
Zama za Viwanda or Industrial age ilikuwa ni vigumu sana kwa masikini au watu wa kawaida kutajirika, ilikuwa ni ndoto. Matajiri walikuwa ama wanazidi kutajirika au baadhi wanafilisika lakini masikini au watu wa kawaida walibaki hivyo na kuwaridhisa watoto wao ufukara huo.


Zama hizi za habari au Information age mambo mengi yamebadirika sana, hivi sasa yeyote anaweza amua aina ya maisha ayatakayo UFUKARA ama UKWASI.


"A great opportunity lies ahead, not for just a chosen few, but for literally millions of “ordinary people,” individual entrepreneurs who were not born into wealthy families, but who choose to apply themselves in the new and emerging industries where this new wealth is being created" Paul Zane Pilzer

Ukiamua kuwa fukara hautoangaika zaidi utaridhika na vile ulivyo, na visababu vya kuwa hivyo vitakuwa vingi mno, mfano:-
-kwetu hakuna aliyewai kutajirika,
-hii haiwezekani kwa Tanzania labda Ulaya,
- Nilishajairibu mara nyiingi haikuwezekana,
- hizi ni ndoto za alinacha,
- mi mlemavu siwezi fanya hiyo,
- mi sio mfanyabiashara,
- NK.
Kifupi sababu ni nyiiingi sana.

Lakini iwapo UTAAAMUA kuwa sitaki ufukara nataka UKWASI bila shaka utaanza na swali la NIFANYEJE, NIANZIE WAPI, NITAWEZAJE, maswali haya ni muhimu kwani ndio yatakupelekea kutafuta njia ambayo hatimaye utapata jawabu.



Paul Zane Pilzer Prof wa Uchumi USA anasema
"The greatest fortunes to be made in the years ahead will not be made in what people were doing 5, 10 or 15 years ago. They will be made in industries that most people today don't even realize exist, or don't yet think of as "industries."



Hii ndo industry inayotengeneza MAMILIONEA wapya milion moja kila mwaka Marekani kwa mujibu wa takwimu za uchumi za USA, imesambaa duniani kote kwa kasi ya ajabu, inakua kwa asilimia 91% toka mwaka 2001, hii ndio yaweza kukutoa upande wa kushoto wa Quadrant (E & S) na kukupeleka Kulia (B & I).
source. nextbongobillionaire.

Categories:

One Response so far.

  1. Wazo muhimu na zuri kwa kila anayependa kubadili maisha yake.

Leave a Reply